USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,664
Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari.
Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana.
Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani kabisa hata michango ya wanajf inamuumiza.
Anashauri mazuri ya Magufuli yafanyiwe kazi akiyaita kwa English (gains) anaona sasa uzembe umerejea kwa kasi.
Kiufupi simuoni mwanasiasa wa kupambana na legacy ya Magufuli.