zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
  2. JamiiForums Tanzania Ni Matumaini yangu Mgeni kaombwa atuletee Watu wake ili Watuambukize Akili zao Kubwa nasi tuendelee haraka kama Wao

    Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku. Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu (...
  3. JamiiForums Tanzania Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

    Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini • Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi...
  4. JamiiForums Tanzania Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi

    Akatwa kidole Vingunguti, vibaka wazidi kuwaliza Wananchi kwa kuwapora mali zao. Jeshi la polisi tunaomba mkafanye kazi yenu Vingunguti.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa sababu ya tamaa, wamezika taranta zao! Nape anakuwaje Waziri?

    Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri? Tanzania tuna tabu sana! Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada juu ya kuagiza Alibaba, bila kutumia njia zao za usafiri

    Nimekuwa nikiagiza mizigo AliExpress kwa muda Sasa ,, nataka tumia alibaba kwa baadhi ya mizigo Nimechat na seller kanitumia link na nili inquiry logistics company akanipa cheapest Ni Dola 30USD Njia za Alibaba zinaonekana Ni fast Sana Ila Zina Bei Sana Nasikia Kuna silent ocean nisaidieni...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Kitanzania ziipe kipaumbele kuweka namba za simu kwa website page zao, na wawe wanapokea simu

    Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa.. Changamoto: 1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website...
  8. JamiiForums Tanzania Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

    NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!! Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Habari Njema Zao la Kahawa Mkoa wa Kagera

    MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo - "Wizara ya Kilimo ina Mkakati gani wa kuhakikisha wakulima wa Kahawa Wilaya ya Ngara wanaendelea...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wamiliki huharibiwa biashara zao na wafanyakazi wao

    Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika. Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either kwa bahati mbaya (makosa ya kibinadamu) au kwa kukusudia. Makosa ya kukusudia huwa wanafanya kwa...
  11. JamiiForums Tanzania NADHARIA Wanawake wanaoficha simu zao kwenye matiti, wako na hatari ya kupata saratani ya matiti

    Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
  12. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) yafikiria kusitisha shughuli zake Nchini Afghanistan

    Umoja wa Mataifa unaangazia kusitisha shughuli zake nchini Afghanistan baada ya Taliban kuwazuia wanawake kufanya kazi kwenye mashirika ya umoja huo nchini humo. Taarifa iliyoachapishwa mapema leo imesema, ujumbe wa Umoja wa Mataifa umesema zuio hilo la Taliban linakiuka sheria ya kimataifa na...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi wasichana waliokatisha masomo shule zao ziko wapi kwa Dar es salaam?

    Nazungumzia wasichana waliobeba mimba na kusimamishwa na kuendelea na shule. Nahitaji kumrudisha binti yangu shule maana nilisikia Rais karuhusu.
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wa dini ya kiislamu ni waaminifu kwa wake zao

    Wanaume wengi waislam wanaogopa na kuipinga waziwazi zinaa kuliko wakristo, wanaona bora aoe kuliko awe na michepuko kapu zima. Nina marafiki zangu kadhaa nimepata kuwafaham kwa kiasi hivi karibuni, kwa kweli ni waaminifu kwa wake zao. Ni ngumu sana au ni mara chache kumkuta kijana wa kikirsto...
  15. JamiiForums Tanzania Warusi wataharuki baada ya kifaa kisichojulikana (UFO) kupaa juu ya vinu vya nyuklia zao

    Hatari sana maana kwa mwendo huu sijui tunakoelekea, Putin afike sehemu ajue liinchi lake hilo libwaku anaweza akazinguliwa popote na litamshinda... Pia akubali yaishe kwamba operesheni ilifeli, ingekua na tija kama angefaulu kuiteka Ukraine ndani ya muda mfupi ila kwa sasa hali imekua hovyo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ndege na mali nyingine za Trump tunaziona, hapa kwetu Marais hawatuoneshi hata bajaji zao. Kwanini wanaficha?

    Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki? Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi? Je, ni wivu? Kwamba wanaogopa kuonewa wivu na kundi kubwa la watu wanaowazunguka na kuwafahamu? Kwanini...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Musukuma: Walioambiwa wale kwa urefu wa kamba zao hawanunui kamba za katani wanatumia manati, likijaa linatanuka

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku 'Musukuma' Vikao vya bunge vimefunguliwa rasmi leo tarehe 4/4/2023. Katika kikao cha leo, shughuli za Bunge zilisimamishwa kwa ajili ya Azimio la kumpogeza Rais, ambapo Wabunge walipata nafasi ya kutoa pongezi zao. Kwa upande wa Mbunge wa Geita Vijijini...
  18. JamiiForums Tanzania Mabinti wa mjini wanamaadili kuliko wa kijijini, kijijini hupoteza bikra zao wangali wadogo sana

    Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice. Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga huwa wanakabidhi akili zao kwa nani?!

    Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
  20. JamiiForums Tanzania Siwahitaji watoto wa kiume kwenye familia yangu

    Mimi ni baba wa mtoto mmoja now,Nina mtoto wa kike Jina N nampenda Sana binti yangu nahitaji Sana mke wangu azidi kuniletea watoto wa kike ata kumi nitawalea..Kama ntafika uzeeni mabinti zangu watakua wafariji kwangu. Ila sijui Nina tatizo gani Mara nyingi nimekuwa nikigombana na wife kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…