zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar kupo ovyo sana. Kweli au nahitaji kueleweshwa?

    Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu. Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani, mainjinia sijui wameajiriwa kwa kazi gani...
  2. JamiiForums Tanzania Posta Tantrade watoa mafunzo ya mifumo ya biashara mtandaoni Zanzibar

    Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na TanTrade wametoa Mafunzo ya Mifumo ya Biashara mtandaoni kwa Wafanya Biashara pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kibiashara Visiwani Zanzibar. Mifumo iliyofundishwa ni Mfumo wa Duka mtandao (Shirika la Posta), Mfumo wa Information Portal...
  3. JamiiForums Tanzania Soka la Zanzibar lazidi vituko, timu yashinda 50-0, nyingine 46-0 zikiwania kupanda daraja la kwanza

    Na @abubakarkisandu Zanzibar. Jana katika Michezo ya mwisho ya kuitafuta timu moja itakayopanda Daraja la Kwanza Kanda Unguja kutoka Ligi ya Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo Mchezo nambari 113 ulichezwa katika Uwanja wa Mau B timu ya Umoja wa Mbuzini ilishinda jumla ya mabao 50-0 dhidi ya New...
  4. JamiiForums Tanzania Utabiri: Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar haitofika Oktoba 2021

    Kwa matamko na kauli zinazoendelea kutoka ACT Wazalendo na ukilinganisha na tabia ya kiburi ya CCM naona kabisa ndani ya siku sitini kila moja atabeba chake huko Unguja. ACT Wazalendo wakikaa kikao kwa vyovyote vile watamtaka Mwinyi ajieleze na kwa uCCM ulivyo, wakina Mwinyi watawabeza ndipo...
  5. JamiiForums Tanzania Waandaaji Zanzibar International Marathon mlikwama wapi?

    Twende kwenye mada moja kwa moja. Kwanza nawapongeza kwa hatua nyingine baada ya miaka zaidi ya kumi na kenda ya kupotea kwa mbio hizo na mwaka huu kuamua kuzirudisha kwa nguvu. Unapozipa mbio jina la International ina maana unategemea kuwa tofauti na zile za kina Goba, Meru, sijui Ushoroba nk...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi haya kuhusiana na uchaguzi mdogo huko Zanzibar, Makamu wa Raisi Zanzibar kutoka ACT-Wazalenido kujiuzulu wakati wowote?

    Haya kumekucha huko Zanzibar
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar: Kuumiza watu ili uwe kiongozi ina raha gani?

    Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Namna ya kupunguza vitendo vya uudhalilishaji wa watoto Zanzibar

    Zanzibar vitendo vya udhalilishaji Kwa wanawake na watoto vinazidi kushamiri Kila siku inayo itwa Leo hivyo basi watoto wa kizanzibari hususani wa wanafunzi wa shule wapo hatarini kupata mimba Kwa hujibu wa takwimu ni wanafunzi wa shule za msingi ndio wanaopatwa na majanga haya Namna ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hatma ya GNU Zanzibar: Karama itaamua badala ya hekima, Chaguzi ndogo zinafichua dhamira

    Mada inahusika Hili la GNU ni mwiba kwa Watawala. CCM inawakwaza kuitekeleza Katiba inayotaka GNU, huku wakivurugana. Utekelezaji wake unategemea Karama na wala si Lazima. Hekima ni mwiko. Naam. Hii GNu ya Dk Mwinyi mwisho wake unaonekana kwa macho ya karibu. Nia njema au mbaya itaonekana...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Leseni ya ulevi daraja A

    NO 1013 ZANZIBAR KANUNI ZA ULEVI LESENI YA ULEVI DARAJA A-LESENI YA ULEVI WA KILA AINA (KANUNI YA 14) ZANZIBAR KANUNI ZA KILEVI KIBALI CHA ULEVI A. KIBALI KAMILI CHA DARAJA LA KWANZA ( SHERIA YA 14 )
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

    Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa hapo jana...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi ampigia kampeni Shekha Fakhi Mpemba jimbo la Konde, Pemba

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  13. JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zanzibar kuwa ya kwanza kutumia bandari ya Lamu kupokeza/transhipment mizigo ya kwenda Ughaibuni

    Hayawi hayawi huwa....sio kuongea ongea bila vitendo, kimsingi boresha miundo mbinu yako tu, wateja watakuja.... Tunaandaa mapokezi ya meli kutokea Zanzibar itakayopokeza kontena 63 kisha zipakiwe kwa meli kubwa bandarini na kusafiri kwenda Ughaibuni.... The Lamu port will handle its first...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwaka 2020 watoto 600 walinyanyaswa

    Kesi za udhalilishaji visiwani Zanzibar ni suala linalopigiwa Kelele na viongozi wa kada mbalimbali. Kwa mwaka jana pekee kesi zaidi ya 600 za udhalilishaji ikiwemo kubakwa na kulawitiwa zimefunguliwa katika vituo vya polisi visiwani zanzibar huku ikiaminika kuna maelfu ya vitendo hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  17. JamiiForums Tanzania 0peresheni Haki yazaa matunda Zanzibar, matawi ya CHADEMA yaanza kuota kama uyoga

    Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi . Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uhafidhina, Deko na kujuana kwa wana CCM, kunamkwaza Rais Mwinyi Zanzibar

    Hio ndio hali inayoendelea. Rais Mwinyi alikuja na nia njema kabisa akitaka kujitofautisha na watangulizi wake. Nia hio ilionekana mapema. Sasa watu wanajiuliza kulikoni ile spidi haionekani kuendana na alichomaanisha hadi sasa kunani? Kwa mujibu wa vyanzo vyetu mbali mbali vya tathmini, Rais...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hakuna Stock Exchange?

    Naona Wazanzibari wanalilia vitu vya ovyo ovyo ambavyo haviwezi kuwasaidia kama uanachama FIFA n.k But sisikii Wazanzibari wakisema wanataka wawe na stock exchange ya kwao Zanzibar, why? Stock exchange itawapatia mitaji wafanyabiashara na serikali itauza bonds na itawasaidia kupunguza...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yatoa toleo la pili la Muongozo wa Huduma kwa wanaohisiwa kuwa na COVID-19

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…