Zanzibar: Leseni ya ulevi daraja A

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,734
729,902
1579523cce6d9b89e0015fec7f928b17.jpg

NO 1013

ZANZIBAR

KANUNI ZA ULEVI LESENI YA ULEVI

DARAJA A-LESENI YA ULEVI WA KILA AINA (KANUNI YA 14)

ZANZIBAR

KANUNI ZA KILEVI

KIBALI CHA ULEVI

A. KIBALI KAMILI CHA DARAJA LA KWANZA

( SHERIA YA 14 )
 
Hiyo leseni inatolewa kwa watu gani? Namaanisha umri, jinsia, utaifa na mengineyo.
 
Hii picha inatumwa sana mitandaoni ila NAHISI watu wanaimisinterprete. Kwa maana kwamba INAWEZEKANA ni leseni ya kuruhusu kuuza vilevi aina zote na sio leseni ya kumruhusu mtu anywe kilevi chochote.

Msije mkaniattack zingatia maneno niliyowekea mkazo
 
Wanatoa ndio.

Pia kuna leseni ya ulaji nyama mpaka kitimoto (wao wanaita ladha)

Zanzibar haipo kama wengi wanavyofikiri yakhe

Kuna mahala Dada zetu hawaa wauza miili yao sheikh sasa kama hakuna wateja wamuuzia nani haoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom