zanzibar

  1. G-Mdadisi

    JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar yaviomba Vyombo vya Sheria kuwachukulia hatua wanaopiga na kuua wanawake na watoto

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Chama cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ), kinaviomba vyombo vya ulinzi kuhakikisha vinawakamata na kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa waliohusika na vitendo vya upigaji na uuaji wa wanawake na watoto vilivyotokea hivi karibuni, hapa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Suala la utalii analotangaza Rais Samia siyo la muungano. Rais Hussein Mwinyi naye ajitangaze kivyake Zanzibar

    Utalii siyo suala la muungano na Rais Samia hana mamlaka na utalii kwa Zanzibar. Yaani kiutalii Zanzibar ni nchi tofauti na Tanzania. Hivyo Rais Hussein Mwinyi afanye ziara yake kivyake Unguja na Pemba aje na sinema yake tofauti na hii ya Samia.
  3. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Vuta N'kuvute Official Trailer

    Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi) Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production) akisaidiana na Big World Cinema. What do you all think? #vnv #tiff #kijiweniproductions #bongomovies...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Masoud Othman waumbuliwa. Kadanganya taifa kwamba "+259" ndiyo "Code" ya Zanzibar na "+255" ni ya Tanganyika wakati sivyo

    TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259" ANALYST: JOSEPH MAGATA Cell: +255 75 4710684 PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12 Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud Othman Masoud alitoa hotuba ambayo sehemu ninayoinukuu anasema, "Kwenye serikali hiihii ambayo...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar aagiza Meli zote za Serikali ziuzwe kwa vile hazileti faida

    Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA . Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya...
  6. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali tayari imeshaingiza chanjo ya Johnson & Johnson ili wananchi wapate chanjo kujikinga na maradhi ya Covid-19

    Waumini waliojitokeza kuitekeleza Ibada ya sala ya Ijumaa katika Masjid Noor, Muyuni wakimskiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alipowasalimia mara baada ya kutekeleza Ibada ya Sala ya Ijumaa. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwasalimia waumini mara baada ya...
  7. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo, mnapata wapi nguvu ya kushiriki chaguzi zilizojaa dhuluma?

    Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo. Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo 1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho? 2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
  8. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rwanda kuizidi Zanzibar kwa Utalii??

    Naangalia takwimu naona Rwanda na Zanzibar wanakaribiana mno kwa idadi ya watalii wanao tembelea nchi hizo mbili.. Ingawa Rwanda wanatumia pesa mara 50 zaidi kutangaza nchi yao.. Nafikiri ndani ya miaka mitatu ijayo wataiacha Zanzibar .....ingawa Zanzibar ni brand kubwa Sana kiutalii...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waliochoma Sinovac watakiwa kupata J&J ili kwenda Hijja

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Ahmed Mazrui amesema wanaotaka kwenda Hijja ambao wamechoma chanjo ya Sinovac wanatakiwa kuchoma tena chanjo ya Johnson & Johnson kwa sababu Saudia haiitambui chanjo ya Sinovac Sinovac ilianza kutolewa Zanzibar July 23, 2021 kwa kuwa ilikuwa imepitishwa na...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

    Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Habari zenu wadau, uzi huu ni maalum kwa ajili ya kucomment sehemu yoyote ile ya kitalii uliyokwishafika au unapenda/kutamani kufika kwa hapa Tanzania au nchi za jirani na Tanzania. Karibu uweke comment yako.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia akiangalia vyakula vya aina tofauti vya asili Zanzibar

    Pichani Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani akitazama Vyakula vya aina tofauti akiwa maeneo ya Kizimkazi Kusini Unguja
  13. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

    Rais Samia kuwa mgeni rasmi KiziMkazi 2021 Festival- MJI MPYA __________________________________ Huu ni ushahidi mwingine wa Unyenyekevu Uliopitiliza wa Mama Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT, #KisiMkazi Festival, Ni kongamano la Vijjii viwili vinaungana kudumisha mila,desturi na tamaduni zao...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Shirika la Nyumba

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021 Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Visiwani humo.
  15. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: JKU yabaini vyeti fake pamoja na mihuri

    Zanzibar: Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Labaini uwepo wa vyeti fake Mjini magharibi pamoja na mihuri. Jeshi hilo limebaini sehemu ambapo vyeti fake pamoja na mihuri imebainika, vyeti hivyo na mihuri ni pamoja na Vyeti vya shule (msingi, sekondari na vyuo), vyeti vya ndoa, vyeti vya kugushi vya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Ugavi, natafuta kazi, nipo Zanzibar

    Habari wakuu, mimi naishi Zanzibar nina shahada ya manunuzi na ugavi (procurement and supply) natafuta kazi huku huku zanzibar kwasababu nina familia inayonitegemea hivyo kwa yeyote mwenye nafasi ya ajira tafadhali tuwasiliane
  17. M

    JamiiForums Tanzania Leo ni Birthday ya Sultan wa Zanzibar

    Huwa inaadhimishwa kila mwaka kama sikukuu ya Sultani Jamshid wa Zanzibar. Kama ulikuwa hujui basi jua kuanzia leo
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya Uteuzi wa Wakurugenzi na mthamini Mkuu wa Serikali Wizara ya Ardhi (26/08/2021)

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya Uteuzi wa Wakurugenzi na Mthamini wa Serikali katika Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. 1. Ndugu Muchi Juma Ameir ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango Miji na Vijiji 2. Ndugu Juma Ameir Mgeni ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: 25 matatani kufanya biashara bila leseni

    Watu 25 wakiwamo mameneja mauzo wa baa wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kufanya biashara bila ya leseni katika operesheni iliyoendeshwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Vileo Zanzibar, Abdulrazaki Abdulkadiri na askari waliokuwa na silaha Watuhumiwa hao wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu wa...
  20. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mzee Jakaya Kikwete na CCM hamuoni aibu kwenda Zambia? Zanzibar 2015 mlifanya nini?

    Hivi JK na CCM hamuoni hata aibu kwenda Zambia kuangalia wenzetu walivyopiga hatua kuhusu demokrasia yao ya vyama vingi na kuheshimu maamuzi ya wananchi wao? Yaani Makada wa CCM mmejaa kwenye ndege kwenda Zambia kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais halali aliyetoka na Upinzani, ninyi...
Back
Top Bottom