zanzibar

  1. Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
  2. F

    Gari iliyotumika Zanzibar na yenyewe inakaguliwa ubora na TRA

    Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA? Kama ndivo nijipange make nimeona...
  3. Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  4. Dkt. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum - Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Ali Mohamed Shein leo Juni 19, 2021 ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui Kikao hicho kilihudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Hussein Ali H...
  5. Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

    Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
  6. I

    Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu. Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu. Aidha viongozi wa...
  7. Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

    Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
  8. Leseni ya udereva Bara hauwezi kuitumia Zanzibar. Kitu gani kingine hakitumiki?

    Tuseme vyote ambavyo havitambuliki Zanzibar kutoka Tanzania Bara ili vishughulikiwe ama tuachane na huu ujinga?
  9. Rais Samia tusaidie Watanzania wote tuweze kumiliki ardhi Zanzibar

    Mh Rais, Bwana asifiwe! Nimatumaini yangu wewe ni mzima wa afya na sisi Watanzania tunaendele kukuombea uendelee kuwa na afya njema. Mh Rais wewe umeonesha wazi ni mpenda haki na ni wazi umeonesha unataka muungano ulio imara kabisa bila kujali chochote umehakikisha Wazanzibari wanapata nafasi...
  10. Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

    Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT Wazalendo. Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar Nitajaribu kuweka video kama itakubali...
  11. Je, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa sio jambo la muungano? Nini kinaendelea Zanzibar?

    Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba ya JMT ibara ya 4 nyongeza ya kwanza) Lakini tangu awamu ya sita ya rais wetu Samia Suluhu ishike...
  12. Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  13. Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

    Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
  14. S

    Kuhusu kero za Muungano, Zanzibar wanapaswa kutumia nafasi ya uraisi wa Samia kuweka msukumo wa kupata Katiba mpya, la sivyo imekula kwao!

    Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
  15. Zanzibar inastahili 50% ya Muungano

    Tukumbushane toka kuungana 1964 Kati ya Tanganyika na Zanzibar. Sehemu moja ilikua inavaa koti la Muungano kwa kudhulumu upande mwingine. 50-50 formula izingatiwe kuanzia Uteuzi (Mawaziri, N/Waziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi, Mabalozi pia hata Misaada toka nje, pasu-kwa-pasu)
  16. Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

    Zanzibar sio jimbo la Tanzania ila ni nchi iliyopo kwenye muungano, natamani sana siku moja nione ikicheza kimataifa na hakika watafika mbali. Kwanini haya mashirikisho ya kimataifa yanawanyima uanachama? Hawana vigezo vya kuwa mwanachama au kwa sababu wapo kwenye muungano na Tanzania bara...
  17. Wazanzibar wanaendelea kudai mamlaka kamili ya nchi yao

  18. Hivi mambo ya Ulinzi ya Muungano inakuwaje Rais wa Zanzibar badala ya Makamu wa Rais anawakilisha Jamhuri?

    Naomba kujua Katiba inasema vp hapa? Maana kama Rais wa Jamhuri hawezi kwenda, mbona Makamu wa Rais asimuwakilishe? Je Waziri wa Ulinzi na Waziri wa Mambo ya nje hawawezi kumuwakilisha Rais wa jamhuri wa Muungano kama Rais na Makamu wa Rais hawawezi? Tusikae kimya tukiona katiba inasiginwa kwa...
  19. B

    Ipo wapi Zanzibar kwenye vyombo vya dola?

    Si hoja ya kikatiba Wala ya kisheria ni hoja ya fikra juu ya utekelezaji wa Yale ambayo hayajaandikwa na si kwamba yalisaulika kuandikwa bali ni magumu kuyaweka kwenye makaratasi. Hakuna sehemu Katiba wala sheria inaposema wakuu wa vyombo wabadilishane kutoka na pande mbili za Muungano. Aidha...
  20. Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji. Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…