zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa rasilimali kati ya Tanganyika na Zanzibar hauko sawa

    Nimewahi ambiwa kwamba Z'bara wanapenda sana kuwa waarabu na wanafanyiwa sherehe za kuwa waarabu. Binadamu wa kiwango hicho kwa hiari yake, lazima ana tatizo la msingi kijamii. Upende usipende, nchi inayoyoma bila mkuu wa nchi kujitambua. Tabia hii imekuwa ni sugu, kwamba wa-Zbar wanajiona siyo...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia. Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT” Bahati...
  3. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu ZBC watenguliwa

    Rais Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji (ZBC), Dkt. Saleh Yussuf Mnemo leo Januari 03, 2022 Dkt. Mnemo aliteuliwa kuhudumu nafasi hiyo Mwezi Mei 2021
  4. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa ACT (Zanzibar) kuachana na Zitto

    Ukweli ulio wazi ni kuwa Zitto kwa sasa hana mchango wowote kwenye siasa za upinzani za kutaka mageuzi hapa Tanzania, zaidi anachopambania ni maslahi yake binafsi kupitia serikali ya CCM chini ya utawala wa mama Samia. Jambo hilo sio afya kwa mustakabali wa malengo ya ACT hususani kwa upande wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani. Kwakweli huyu Mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

    Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi. Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Kijue kisiwa cha Mnemba, kilichopo Zanzibar, kinachodaiwa kumilikiwa na Bill Gate

    Watanzania wengi hawajawahi kusikia kuhusu hiki kisiwa kilicho maarufu kwa wapenda bata wa kimataifa. Mnemba Island ni kisiwa kidogo kinachojitegemea , kilichopo kaskazini masharaki yapata umbali wa kilometa 3 kutoka Unguja. Mkabala na ufukwe wa Muyuni (Muyuni Beach). Kisiwa hiki chenye...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar

    Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar maeneo ya Fuoni, Kwerekwere, Kisauni mbweni
  9. JamiiForums Tanzania Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya.... Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya. "...anabonge la hirizi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Baba Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar

    Kiongozi wa dini ni kiungo cha jamii. Hapaswi kuwa mrengo wa kulia au kushoto (katika kujenga jamii moja). Hivyo ni muhimu mno kwa kiongozi wa dini atumie vema ulimi wake ili mwisho wa siku utoe matunda ya umoja, amani, utulivu, usalama na upendo katika jamii. Ndivyo alivyofanya Baba Askofu...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar waache majaribio yasiyo na tija kwenye mfumo wa elimu

    Binafsi nilishangaa kujua mfumo wa zanzibar ni kumaliza shule ya msingi darasa la sita kisha mtu anaenda form 1. Sijui wanakimbilia wapi? Au kwa vile shule zao kuna kina mama na kina baba wanalea japo wao ni watoto? Mfumo huo pia umekua na matokeo duni ya kidato cha nne. Kila mwaka shule za...
  12. JamiiForums Tanzania Madaktari 38 wakutwa na COVID-19 Zanzibar

    Chukueni tahadhari, hiki kitu kimebeba hadi marais... ========= Eighty nine people have on December 24 tested positive for Covid-19 including 38 doctors and nurses at Mnazi Mmoja Referral Hospital in Zanzibar. This was said by the hospital's director Dr Marijani Msafiri while briefing the...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar anapigiwa mizinga mingapi?

    Siku ya kumbukumbu ya uhuru wiki juzi mwanajeshi mmoja alikuwa anafafanua gwaride na mambo ya kijeshi. Kuhusu saluti za mizinga alisema rais anapigiwa mizinga 21, makamu wa rais na waziri mkuu mizinga 19. Kwa ujumla alisema hivi, 1. Rais, mfalme, malkia, Sultani (21) 2. Makamu wa Rais, Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendesha gari ukitoka bara unalipa $10

    Kuendesha gari Zanzibar unahitaji kuwa na permit, unalipia 10$. Hii ni bila kujali wewe ni Mtanzania au la, we are all regarded as foreigners in this case. Hapa issue si hiyo $10 but how tuna tritiwa wote kama foreigner ? Hii imeshajitenga kama nchi peke yake na Tanganyika peke yake au ni kitu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba Kodi za kuingiza magari zipungue tuwe kama Zanzibar

    Mhe Rais pole na majukumu,kazi yako unaifanya vizuri Sana ,#MitanoTena Sisi Wananchi wa Tanzania bara ,ukweli tumechoka na iki KIKIKOTOO cha ushuru WA kuingiza magari ,ushuru unazidi bei ya kununua gari ,mbona Zanzibar hawana ushuru WA kufuru namna hiyo Tuna amini Kodi ikupungua watu wengi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu akiongelea kuhusu tarehe ya Uhuru wa Zanzibar

  17. JamiiForums Tanzania Umeme wakatika Dar na Zanzibar, TANESCO yasema utarudi saa 5 asubuhi

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaskitika kuwatangazia wateja wake, kuwa kumetokea hitilafu kwenye kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo leo Desemba 15, 2021 saa 3:18 asubuhi. Mafundi wanaendelea na jitihada za...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kumuenzi Maalim, CHADEMA inakwenda kuwa na nguvu Zanzibar kuliko ACT, Zitto amepotea

    Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo. Madhara yake Wazanzibar awabadiliki kimsimamo hivyo chama hakiwezi kuwa zaidi Yao. Kukosa Imani na...
  19. JamiiForums Tanzania Suala la ardhi halimo kwenye Muungano, Zanzibar wapo makini kulinda ardhi yao lakini wametuzidi akili kuimiliki ardhi ya bara

    Kwenye katiba ya Tanzania hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano, Ardhi ya Tanzania bara ni kwajili ya raia wake na ardhi ya Zanzibar ni ya raia wake. Hatuna budi kuwapongeza wazanzibari maana hawana mchezo kwenye kulitekeleza hili kwa kulinda ardhi yao iwe kwajili yao, Lakini sasa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar

    leo ni maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Zanzibar uliopatikana tarehe 10 December 1963. Hivi CCM wanafaidika na nini kuendelea kuhubiri uwongo na kutokubali kuutambua? Happy Independence Day
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…