Natafuta nyumba ya kupanga Zanzibar

Jiandae kubaguliwa kama wewe ni mkristo au mtu wa bara..watakuita mnywamwezi hata kama umetokea dodoma..ukianzisha biashara lazima zikudodee..labda kama unachouza hakipatikani kabisa maeneo hayo...vijamaa vibaguzi sana..nyerere sijui alivitolea wapi hivi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Chuki ni maradhi na chuki humchoma anayehifadhi.Halafu huu uzi hauwahusu ma Last born.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Karibu zanzibar kaka hakuna ubaguzi hakuna chuki. kila mtu anaishi maisha yake kama ilivyo bara tu

Achana na maneno ya watu
 
Habar ndugu,ushalipiwa weyeeee,njoo na begi lako Tu, nyumba ipo Tu maeneo ya mchamba wima na makunduchi na dole.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom