zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo: Utekelezaji mradi wa viungo Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na Uchumi wa Wananchi

    WAZIRI wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Shamata Shame Khamis amesema utekelezaji mradi wa Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar unaisaidia Serikali kufikia lengo lake la kuinua vipato na uchumi wa wananchi wake kwa kujiingiza katika shughuli za uzalishaji mazao ya kilimo kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar supports establishment of a standalone Ministry for Women

    Tanzania Media Women’s Association- Zanzibar (TAMWA-ZNZ) is sincerely extending its gratitude to The President of Zanzibar HE. Dr. Hussenin Mwinyi for his new thought of creating a special Ministry which among other things will be dealing with Women affairs outside the then arrangement of...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulishinikizwa na mabeberu?

    Wakuu naomba kujuzwa ukweli wa hili, kuwa baada ya mapinduzi ya Zanzibar, kulikuwa na wanasiasa wenye ushawishi wakiongozwa na Abdulrahman Babu wa Umma Party ambao walikuwa na itikadi za kikomunisti na wangeweza kuifanya Zanzibar kitovu cha Ukomunisti Afrika Mashariki Kuzuia hilo , Waingereza...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wapelelezi wanaokwamisha kesi za madawa ya kulevya waonywa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar Kamishna wa Polisi, Awadhi Juma Haji amewaonya wapelelezi wanaokwamisha kesi za dawa za kulevya Zanzibar kuwa jeshi hilo halitakuwa na muhali kwa maafisa hao na kusisitiza ueledi katika majukumu yao. Kila mpelelezi awajibike kufuatilia jalada lake hatua kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ramani mpya ya Afrika Mashariki haioneshi Zanzibar, Inabidi kuwe na masahisho

    Upande wa kwanza Zanzibar ni nchi iliyoungana na Tanganyika ikapatikana Tanzania, katika huu muungano Zanzibar inabidi iwe na raisi au makamu wa raisi wa Tanzania, Pia Wazanzibari katika huu muungano wapo Mawaziri, mabalozi, wakuu wa taasisi, wabunge, Idara za ulinzi, waajiriwa, n.k. Lakini kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni inaendelea...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Mohamed Said na Mapinduzi ya Zanzibar

    Mohamed Said ni mwanaharakati na mwandishi wa habari. Habari zake nyingi ni kumponda Nyerere namna alivyowatelekeza wazee waislamu wa kariakoo baada ya Uhuru akidai kuwa hao wazee ndio waliodai Uhuru wa Tanganyika akina Sykes. Hata siku moja sijaona makala yake namna ambavyo JOHN OKELLO...
  8. JamiiForums Tanzania Re-Insurance Officer 2 Post at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  9. JamiiForums Tanzania Product Innovation Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  10. JamiiForums Tanzania Claim Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  11. JamiiForums Tanzania Insurance Underwriter 5 Posts at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  12. JamiiForums Tanzania Sales Officers 2 Posts at Zanzibar Insurance Corporation

    BACKGROUND Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th of June,1969 under the public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no.11 of 1969. It is now operating under the public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal organization owned by the Revolutionary...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi atoa onyo kwa watakaopandisha bei ya bidhaa Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Dk. Mwinyi alieleza hayo jana katika risala maalum aliyoitoa yenye lengo la...
  15. JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ligi Kuu Bara, Championship, Ligi ya Zanzibar, Ligi ya Wanawake

    Hivi ndivyo misimamo ilivyo hadi kufikia leo Jumatano Machi 30, 2022 katika Ligi mbalimbali ambazo ni Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza 'Championiship', Ligi Kuu ya Zanzibar na Ligi Kuu ya Wanawake. Chanzo: Mwanaspoti
  16. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  17. JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Zanzibar: Sheria ya uchochezi ipitiwe upya, ina mianya mingi ya kutumika vibaya

    Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapo jana Machi 28, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

    Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu. Binafsi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
  20. JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji. Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…