zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Duh! Kumbe Zanzibar ilikuwa na Sultan mwenye asili ya Oman aliyekimbilia uhamishoni baada ya Mapinduzi mpaka mwaka 2021

    Yaani mpaka mwaka jana Zanzibar ilikuwa na Sultani ambaye alikuwa Uingereza na kustaafu mwaka jana akiwa Omani. Je, akuna mwingine aliyechaguliwa? 'The last Sultan who ruled Zanzibar was Jamshid bin Abdullah, who was deposed in a coup in January 1964. In April that year, Zanzibar united with...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Uzinduzi Zanzibar akosoa kuchukua waliofeli kuwa walimu asema ndio wanadumisha elimu nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
  3. JamiiForums Tanzania Nimetokea Oman kwa Mjomba na nimeshukia Kwanza Zanzibar niwape Salamu za Mjomba kisha nikapige Kazi kwa Wagogo na Wazaramo

    Na safari hii nimeamua kutumia Ndege yangu Mwenyewe Maalum Kusafiria kwani nimeshachoka na Kelele zenu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi: Madiwani Zanzibar kulipwa mishahara huku wa Tanzania bara wakitumika kwa posho ya vikao

    Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa. Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni. ======= Madiwani Z’bar kulipwa mishahara Jesse Mikofu Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka Zanzibar kuja Dar

    Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli. Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje. Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
  6. JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  7. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ubalozi Norway waainisha Mafanikio na changamoto wanazokumbana nazo wanawake kushika nafasi za Uongozi Zanzibar

    JUMLA ya wananchi 3,222 kisiwani Pemba wakiwemo wanawake 1,971 na Wanaume 1,251 wamefikiwa kupitia mikutano mbali mbali inayofanywa na wahamasishaji jamii ambayo inalenga kuhamasisha jamii kuacha dhana potofu na kuunga mkono jitihada za wanawake ili kupata haki ya kushiriki katika demokrasia na...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

    Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo. Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?
  9. JamiiForums Tanzania Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

    Ni muhimu sana kwani kila nikiangalia naona Mkoa wa Mbeya na wenyeji wa Mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa wanapaswa kuwa kama Zanzibar ndani ya Tanzania, naamini kabisa Mbeya kama vile Kanda ya Ziwa watapata maendeleo makubwa sana kama wakiachwa wajitawale wenyewe kama vile Zanzibar. Watu wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata muundo wa Serikali za Tanzania na Zanzibar?

    HABARI WAKUU, SERIKALI AU TAASISI YOYOTE DUNIANI LAZIMA IWE NA STRUCTURE Ipo hivi serikali yetu ina OFISI YA RAISI, OFISI YA MAKAMU WA RAISI na OFISI YA WAZIRI MKUU Chini ya hao kuna wizara TAASISI zote km TBA, TRA, TANESCO, BOT zipo chini ya wizara Apo kuna mpangilio mfano BOT yupo chini...
  11. JamiiForums Tanzania Maximo to attend Tanzania football summit in Zanzibar

    It's greats especially in expanding sports tourism thank mama #SSH for an unique exposure Dar es Salaam. Former Tanzania national football team (Taifa Stars) head coach Marcio Maximo is expected to be among dignitaries who will attend Tanzania’s second Football Summit scheduled to take place on...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

    Wale wa kuvuka maji, boti zinatumia mafuta...
  14. JamiiForums Tanzania Nataka Kununua Kiwanja Zanzibar

    Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
  15. JamiiForums Tanzania Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mafuta kwa Zanzibar bei nafuu, mishahara yapandishwa kwa asilimia 15. Zanzibar ni kama mkoa?

    Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji. Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15% Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6 Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Gharama za imported goods kuwa chini kati ya Tanganyika na Zanzibar sio jambo jipya

    Leo nimeona mjadala mkubwa umekuwa ukiendelea kuhusiana na utofauti wa bei ya lita moja ya mafuta kati ya Zanzibar na Tanganyika. Na picha zikisambaa mitandaoni kuonesha Zanzibar lita moja ni 2600+ TZS wakati Tanganyika ni 3100+ TZS, huku swali kubwa likiwa inakuaje bei iko chini Zanzibar...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…