Hivi Mwalimu Nyerere, mchanga au udongo wa Tanganyika aliushika kwa mkono gani wakati wa kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar?

New ID l

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
248
476
Wakati mwl Nyerere anachanganya mchanga au udongo wa Tanganyika na Zanzibar kama inavyoonekana kwenye picha👇inaonekana mikono yake yote miwili ilishiliki kwa pamoja katika kuchanganya udongo huo.

Sasa naomba kujuzwa udongo wa Tanganyika ulishikwa kwa mkono gani hapo, wa kulia au kushoto?

NYERERE(0).jpg
 
Muungano wa Mkataba wa miaka kumi kumi mambo ya kuchanganya michanga inatokea wapi?

Yule M Ukraine alikuwa mbishi

Vile visiwa hatare sana

Rais wa kwanza kutolewa kwa Risasi na aliemfata akatolewa kwa Mapinduzi baada ya hapo ni halua halua tu

mi nilijua utauliza karume alikuwa wapi hapo??na ye asichangamye
 
Mi nilijua utauliza Karume alikuwa wapi hapo na yeye asichanganye
Ilitakiwa wote wakoroge sio 🤣🤣🤣
Nyerere kuchanganya mwenyewe ina maanisha yeye ndio kashika usukan 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom