kasindaga

Senior Member
Sep 6, 2013
165
165
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.

Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.

Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.

Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
 
Ahhh wapi!!! Mkitaka ongezeni udhamini la sivyo timu zitaleta Hadi Queens.
 
Mbona mpaka muda huu sijaona timu ya Bara iliyoleta kikosi cha U-20!! Zaidi ni wachezaji wawili watatu wa hiyo U-20 wameletwa huko kwa lengo la kujiongezea uzoefu!

Au ni kwa sababu hujawaona akina Mayele na Chama? Na wenyewe ni binadamu, lakini pia kuna mashindano mengi mbele yao, hivyo wanastahili kupumzika. Siyo kila mechi lazima wawepo/wacheze.
 
Kiukweli mategemeo ya wazanzibar hukatishwa tamaa ya kutoshuhudia ukubwa halisi wa hizi timu kubwa pendwa.

Badala yake wanacheza wachezaji wa hadhi ya chini.

Hata hivyo thamani ya kombe ni ndogo sana.
 
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.

Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.

Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.

Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
Anza na hao viongozi wa hilo kombe, waboreshe maslah na muundo wa michuano
 
Yaani upeleke kikosi Cha kwanza Mapinduzi, wachezaji wakamenyeke wafike Fainali tarehe 13 halafu tarehe 16 una mechi ya Ligi Kuu na Ihefu FC na gap lenyewe ni pointi 6 tu???.. Siyo kweli...

Hivi unajua kwenye Tournament wachezaji wanatumia nguvu nyingi kuliko Ligi.
 
Pesa yenyewe 15m, mshahara wa wachezaji wawili wa simba/azam/Yanga. Kwa pesa hiyo hiyo ni pesa ya wachezaji wote timu mzima huko Zanzibar.
 
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.

Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.

Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.

Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
Mnataka mpewe hadhi ipi akati ninyi wenyewe mnajitenga na kujiona ninyi sio Watanzania bali Wazanzibari?

Mlifanya mikakati ya kuua michuano ya Muungano na kuasisi michuano ya Mapinduzi ili mjimwambafai..

Boresheni team zenu ili ziwe na hadhi sawa na team za upande wa Tanganyika, ila sio kuwapangia Watanganyika mnachokitaka.
 
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.

Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.

Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.

Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
With all due respect kwa akili yako timamu kabisa unaamini kabisa makao makuu yasingejengwa?!
 
Kiukweli mategemeo ya wazanzibar hukatishwa tamaa ya kutoshuhudia ukubwa halisi wa hizi timu kubwa pendwa.

Badala yake wanacheza wachezaji wa hadhi ya chini.

Hata hivyo thamani ya kombe ni ndogo sana.
Walimwambia mwakinyo mambo ya zanzibar yawanufsishe wazanzibar, sasa wanataka nn tena?
 
Yani kuna watu wanalopoka kwer amesha sahau kuwa kuna caf champion league ndani ya week iz mbili aumie mtu oooh viongozi vichwa maji ona Chama achezi kaumia mapinduzi kombe lenyewe million 10
 
Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.

Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.

Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.

Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
Ni Kweli; Yanga na Simba hazikuitenda heshima kwa Mapinduzi cup mwaka huu. In fact Yanga ndiyo ilidharau zaidi kwani licha ya kuepeleka timu ya watoto, hata kocha mkuu wa Yanga hakuhudhuria.
 
Kombe lenyewe ni million 16 ,sawa na mshahara wa aziz ki ,Kwa hiyo azzi ki anaweza kuendesha kombe la mapinduzi
 
Back
Top Bottom