Kila nikimsikia Rais Dk. Mwinyi wa Zanzibar Redioni na Runingani anafurahia Amani iliyoko huko je, ni kweli kuna Amani sasa Zanzibar?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,922
Tafadhali Wazanzibari ( hasa kutoka Pemba ) bila Kuwasahau wa Unguja GENTAMYCINE nauliza je, ni kweli kwa sasa mna hii Amani ya Kudumu ambayo Kutwa namsikia Rais wenu Dk. Hussein Ali Mwinyi anaihubiri Redioni na Runingani?

Kazi yangu Kubwa ni kuso ma tu Maoni yenu hapa kwani kwa ninavyowajua Wazanzibari ( hasa Wapemba ) walivyo Wapalestina ( Wabishi na Wakorofi Kiasili ) huku wakiwa wana 'Allergy' na Chama Cha Mambuzi ni Ngumu mno kwa Wao Kunyamazishwa na Kutulia. au Wamelishwa Dawa za Kienyeji na sasa wanapenda Amani?

Huwa naipenda Zanzibar ikiwa na Mizozo na Mikwaruzano ya Mambuzi Party na Mahasimu Wao Kafu Kafu kwani ndipo huwa naifuatilia vyema na hata kujifunza Siasa zao.
 
Sasahivi wanalamba asali kama bwana nyepesi na Dj huwezi wasikia wakilalama.

Ila wazenji wazee wa chako ni chetu,chetu ni chetu hawana tofauti na kupe.
ujue adui wa Zanzibar ni wazanzibar wenyewe ila utafuta sababu na kuna mda utengeneza mazingira Tanzania bara waonekane wabaya.

ila ukiishi Zanzibar utajua kama wazanzibar wanafiki ni wengi kuliko wastaarabu
 
Back
Top Bottom