zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ukahaba uliokithiri vyuo vya elimu ya juu

    Wakuu, maadam suala la ukahaba kwenye vyuo vikuu hapa nchini haipingiki, naomba tujadili leo sababu hasa ya hali kuwa hivyo. Je, ni kupenda maisha ya starehe pekee au kuna sababu nyuma ya pazia?
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu ushuru bandarini kutokea Zanzibar

    Wadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji. Nataka nikafanye shopping huko naona vitu bei imekaa poa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania CRDB, ZFF na Sheria Ngowi waingia Mkataba wa udhamini wa jezi za Zanzibar Heroes

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Tabia Maulid Mwita (katikati waliosimama) akishuhudia utiaji saini wa mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na udhamini kwa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), kati ya Benki ya CRDB...
  4. JamiiForums Tanzania Nipeni code Zanzibar

    Wakulu wa nchito, nipo Zanzibar kama 2 weeks hivi, ila sasa naona kabisa kama kuna ka kampani ka manzi kanamiss afu kuimport ndio miti yote imeteleza nyani wote chali. Mwenye code nzuri tafadhali afanye mauchawi maana wanaume hatujaumbiwa mateso kwanini tukule perdiem pekeetu
  5. JamiiForums Tanzania Amber Ruty na Davil walifungwa kwa kosa sawa na la huyu askari wa zanzibar iweje leo Serikali kimya?

    👤hatua gani imechukuliwa kwa askari huyu aliyevujisha video chafu na kuridharirisha Taifa , kibaya zaidi ni kiongozi wa serikali. 👤 Tunaomba ufafanunuzi, Amber Ruty na mmewe walifungwa kwa kosa kama ili la askari alolifanya .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuchunguza Askari anayedaiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Kamishna Hamad alitaja sababu tatu za kutokukubaliana na tendo hilo ndani ya polisi; kinyume cha sheria, maadili na linalomwondolea ukakamavu askari. Kutokana na mkasa huo, Kamishna Hamad aliyeonekana kukereka nalo, aliiambia Nipashe kwamba ofisi yake ina mpango maalum wa kuwasaka askari wake...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Kilimo Zanzibar yaridhishwa Utekelezaji wa AGRI-CONNECT kuwainua Wakulima

    WIZARA ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar imepongeza hatua zinazochukuliwa na wadau wa maendeleo katika kukuza na kuimarisha thamani ya kilimo cha Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar kupitia miradi inayotekelezwa nchini. Hayo yamebainika kufuatia ziara ya kutembelea wakulima...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe Kisiwani Pemba(ACT Wazalendo), afariki Dunia

    Habib Mohammed Ali, Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba amefariki Dunia wakati akiendelea na matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam. Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani amesema taarifa za mazishi zitatolewa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi waarabu na wazungu huwa wana vinasaba vya ushoga? Wamepaharibu Zanzibar na Dar

    Sehemu iwe kijiji mtaa hata wilaya kama kuna warabu na wazungu basi hiyo jamii lazima igeuke na kuwa na mashoga wengi. Angalia Dar, Zanzibar, Tanga na Mombasa hii ni mifano tu. Lakini hata South Africa Mashoga wengi wazungu na machotara. Kwa nini inakuwa hivi?
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
  11. JamiiForums Tanzania Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

    Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wauzaji wa kamera Zanzibar

    Naomba mnisaidie ofisi ya wauzaji wa kamera wa uhakika waliopo Zanzibar. Mawasiliano yao au jina la account ya instagram itakuwa bora zaidi.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar ni sawa na Esau na Yakobo baada ya kubarikiwa!

    Huwa najiuliza sana Kwanini Yakobo (Israel) alitafuta kwa bidii kuzipata baraka za baba yake mzee Isaka. Nikagundua Kuwa Kabla ya hapo Esau alishauza nafasi yake ya uzaliwa wa kwanza kwa Yakobo. Na kila niikumbukapo Tanganyika namkumbuka Esau ambaye hatajwi tajwi tena Kwenye Biblia baada ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  15. JamiiForums Tanzania Je chuo cha State University Of Zanzibar (SUZA) ni kwaajili ya wa kazi wa zanzibar pekee.??

    Naombeni msaada wana Jf. Naomba kujua Je chuo cha SUZA ni kwaajili ya wakazi wa zanzibar pekee au hata sisi kutoka Tanzania Bara tunaweza kuomba udahili na kusoma katika chuo hicho
  16. JamiiForums Tanzania Wapemba kila sehemu ila wabara Zanzibar Noooo

  17. JamiiForums Tanzania Mama Zuchu akiwa na Rais Dkt. Mwinyi

  18. JamiiForums Tanzania Hotel Zanzibar

    Habari wakuu, Naomba msaada wa hotel nzuri isiyozidi laki 250 Zanzibar, ninampango wa kwenda fungate huko msaada tafadhari.
  19. JamiiForums Tanzania Mjane aliyezuiwa kuingiza Ndizi Zanzibar adai wanaomdai wanataka kwenda kumfilisi, asema ameathirika Kisaikolojia

    Wiki chache zilizopita, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis alitoa ufafanuzi kihusu tukio la kutaifisha tenga za ndizi za mfanyabiashara Veronica Mwanjala aliyekuwa akizisafirisha kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa ajili ya biashara...
  20. JamiiForums Tanzania Ubaguzi uliopo visiwani kwa Wabara inatosha kuwabembeleza, hata wakiwa huku bara ni vilevile

    Hawa ndugu zetu wa visiwani washajua kuwa tunawakumbatia sana ndio maana kujishugulisha hata kielimu washaona tu mtawapa nafasi zao ajira bakini nyie wa bara someni mpaka mkome. Kama tutaendelea kuwabembeleza nao hipo siku watatueleza wazi kwamba tuachane nao. Inanishangaza kwenye nafasi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…