zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa ZANROADS na Kamishna wa Idara ya Bajeti

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Barabara Zanzibar (ZANROADS), Makame Ali Makame pamoja na Kamishna wa Idara ya Bajeti, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango, Saumu Haji.Utenguzi huo ni kuanzia leo Septemba 12, 2023.
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar wanatoa wapi mafuta, mbona bei zao ni tofauto na bara?

    Nimeshangaa bei ya mafuta Zanzibar petrilo ni 2900 na diesel 3100! Hawa Zanzibar mafuta wanatoa wapi huko ambako siai hatuwezi kwenda? Hii nchi si moja? Kuna nini hapo katikati?
  3. JamiiForums Tanzania Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
  4. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

    Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania. Kwa nini Rais wa...
  5. JamiiForums Tanzania Je hali ya Upatikanaji wa mafuta Zanzibar Ikoje?

    Naomba wale walioko Zanzibar watueleze hali ya upatikanaji wa Mafuta upande huo na ikiwezekana watupe na bei kwa lita Moja , tulinganishe na Tanganyika ambaye ni Mshirika wao wa Muungano. Natanguliza Shukrani.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wakristo Zanzibar na wao hawataki kuongozwa kutoka Dodoma na Askofu Mkuu Dkt. Mndolwa

    Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
  7. JamiiForums Tanzania TAMWA ZNZ, MCT, wadau wa Habari watoa tamko Mjumbe Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuzuiwa kuzungumza baada ya Kuapishwa na Rais Mwinyi

    CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
  8. JamiiForums Tanzania Uhaba Kifaa Cha Kuchunguza VVU Kwenye Vituo Vya Afya Zanzibar Unaathiri Vijana Kutambua Afya Zao

    KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
  9. JamiiForums Tanzania Kitimoto kupatikana Zanzibar ni ishara ya uvumulivu

    Japo Zanziba ni sehemu ya Tanzania, inafahamika kuwa asilimia kubwa ya wakazi wake ni Waislamu. Na inafahamika kuwa nguruwe, au MBUZI KATOLIKI kama inavyoitwa na baadhi ya watu, ni wanyama haramu kwa Waislamu. Lakini unajua hiyo mboga inapatikana hata Zanzibar? Kwa ambaye hajawahi kufika huko...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aapisha Viongozi wateule Ikulu Ndogo, Tunguu, Zanzibar, leo Septemba 1, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu dogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 01 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=H04h3n8tXyA === Rais Samia amewakumbusha viongozi walioapa kuishi kiapo chao pia. Kwa wateule wapya, amewataka...
  11. JamiiForums Tanzania Tamasha hili linajenga mahusiano kati ya Tanzania ipi na Zanzibar ipi?

  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuna fursa gani za manual labour?

    Heshima yenu wakuu. After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua. Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar? Stay blessed.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja, Zanzibar, leo Agosti 29, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja tarehe 29 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar. https://www.youtube.com/live/LlyEZLuVGeU?si=3tvUhyO8r-RMSUIO Rais Samia amezindua madarasa Mapya 6 Buyuni Shule ya Msingi pamoja na kuzindua holi la...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yashiriki ufunguzi wa tamasha la Kizimkazi, Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi alipokuwa akiwasili katika viwanja vya Paje, wakati wa ufunguzi wa Tamasha la Kizimkazi, linalofanyika Paje mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar jana. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein...
  15. JamiiForums Tanzania Simba, Chui, fisi ‘waingia’ Zanzibar

    Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa), Lusajo Nsweve, akisemani mpango katika kutanga utalii. Wanyama hao ambao...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuoa Zanzibar

    Habari zenu wana jamvi. Nisiwachose sana. Ni hivi, sauti yangu ya ndani inanishuhudia nioe mwanamke wa kizanzibari.. Kuhusu dini Mimi ni Mkristo mwenye vinasaba vya uislamu. Nipo tayari kusilimu wakati wowote ule. Kwanza I am not even a church going person. Ukristo wangu ni ukristo wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Karume aliukataa mchezo wa ndondi Zanzibar leo unarudishwa. Je, tunatafuta laana yake kilazima?

    Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
  18. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais wa Zanzibar amemteua Jaji George Joseph kazi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
  19. JamiiForums Tanzania Navutiwa na utendaji wa Tabia Mwita, Waziri wa Michezo Zanzibar

    Nimekuwa nikuvutiwa na utendaji kazi wa Tabia Mwita ambaye ni Waziri wa Michezo katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Nilikuwa sijui kama majina ya bara siku hizi yamejaa huko visiwani?
  20. JamiiForums Tanzania Aliyeshiriki kuchanganya udongo wa Tanganyika, Zanzibar afariki

    Khadija Abbas Rashid (74) miongoni mwa walioshiriki kuchanganya udongo wa iliyokuwa Tanganyika na Zanzibar amefariki dunia jana Jumanne Agosti 23, 2023 nyumbani kwake Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano ambapo wametoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…