Inakuwaje Rais wa Zanzibar anawapa wahamiaji Uraia wa Tanzania?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,298
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.

Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.

Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?

Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla

Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
 
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.

"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"

Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
 
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine..

Kwa nini Raisi wa jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?.

Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Niliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
 
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine..

Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.

Kwa nini Raisi wa jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?.

Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Wazanzibar wanatuona wajinga sn
 
Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.

Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Kwa hiyo Rais wa Znz ana mamlaka ya kutoa uraia wa Tanzania ? Hii ni sawa kikatiba?
 
Hili ndio lilipaswa kua swali la msingi katika hoja yako na sio ile ya mleta mada "Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania" .

Wataalamu wa mambo watatusaidia katika hili.
 
Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.

Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Yaani unatumia muda mwingi kutoa ufafanuzi wa kijinga Kwa kutoelewa kabisa utaratibu, sawa hata kama ni raia wa Msumbiji, nani alikudanganya kuwa Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutoa Urais wa Tanzania? Anatoa Uraia kama nani na wakati sio Rais wa JMT?
 
Hilo ndio lilipaswa kua swali na sio kuleta huu upumbavu.

"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"
 
Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.

Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Wewe ndo umekurupuka kujibu. Hoja ya mtoa mada ni kwamba kwakuwa uraia uliotolewa husitolewe na rais wa Jamuhuri?. Rais wa Zanzibar anawezaje kutoa uraia wa Jamuhuri?.
 
Ndo anauliza kwanini Rai's Mwinyi ambaye ana hadhi ya Mkuu wa Mkoa ndani ya Jamhuri ya Tanzania awe na mamlaka ya kuwapa raia wa nchi nyingine uraia Wa Tanzania? Anauliza kwamba hayo Mamlaka siyo ya Rai's wa Jamhuri ya Muungani Wa Tanzania?! Mwinyi ameyatoa wapi?
Kumbuka Zanzibar siyo nchi, ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Kigoma au Mbeya.
 
Wewe ndo umekurupuka kujibu. Hoja ya mtoa mada ni kwamba kwakuwa uraia uliotolewa husitolewe na rais wa Jamuhuri?. Rais wa Zanzibar anawezaje kutoa uraia wa Jamuhuri?.
"Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania"

Hapa ndio msingi wa huu uzi
 
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine..

Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka Hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.

Kwa nini Raisi wa jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?.

Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Tanganyika watasema wametekwa na Zanzibar
 
Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.

Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Umeelewa au unajibu Kwa panic tuu,,,,nan mwenye mamlaka ya kutoa uraia ?
 
Back
Top Bottom