zanzibar

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wana Kizimkazi, Bukoba ina Nyamukazi, wahaya hatujawahi kuchelewa

    Sio sifa, ila ndio ukweli, Bukoba ina Nyamukazi, inabidi na yenyewe iandaliwe tamasha. Munyegere
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imezikwa kwenye kaburi la Muungano, haiwezi kuvaa koti la Muungano

    Kuna wakati huwa nashangazwa Sana na mawazo ya baadhi ya wazanzibari wanapoona kuwa Tanganyika inafaidika zaidi na Muungano kati yake na Zanzibar, kuliko Zanzibar inavyofaidika na Muungano huo. Wazanzibari hao ndiyo waliobuni msemo wa "Tanganyika imevaa koti la Muungano" kumaanisha kuwa...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  6. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

    WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR 📌 Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zake 📌 Nishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Zanzibar. Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na historia ya Mongolia na China

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo. Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni katika eneo lao kwa tafsiri ya Muungano jamii tawaliwa pale itakapo twaa madaraka maumivu ya...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

    Hello! Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka. Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority. Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine. Mfutaji ni Waziri wa...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Kwanini Bara zinaitwa Shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli?

    Wanabodi Kuna baadhi ya maneno hiku Bara yanatamkwa vingine na Zanzibar vingine mfano neno Shule kwa huku bara, kwa Zanzibar zinaitwa skuli. Sikuwahi kujiuliza Kwanini, ila leo ndio nimejua kwanini bara zinaitwa shule lakini Zanzibar zinaitwa Skuli. Kupitia live Mubashara ya TBC kwenye...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Zanzibar latoa onyo kwa viongozi wa siasa kutumia vibaya uhuru wa kujieleza

    Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya mtu na kuhatarisha uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya...
  12. BRN

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya timu za Zanzibar zinazoshiriki mashindano ya kimataifa

    Zanzibar ina timu za mpira wa miguu zinazoshiriki mashindano ya kimataifa ya Shirikisho la Mpira Afrika(CAF),yaani Shirikisho na Klabu Bingwa. Pamoja na kuwa na uwanja wa Amani ambao umetumia gharama kubwa kuukarabati,timu za JKU na Uhamiaji zinacheza mechi zao za nyumbani ugenini. Soma Pia...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Zanzibar kuandaa Olimpiki 2040

    Zanzibar ipo katika mchakato wa kuomba kuandaa mashindano ya Olimpiki 2040. Baada ya Qatar 2036.
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Imebinafsisha Uendeshaji wa Hospitali za Umma

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Nassor Mazrui ametangaza kuwa Hospitali zote Zanzibar zilizojengwa na Serikali ya Rais Dkt. Hussein mwinyi sasa rasmi zitasimamiwa na Sekta binafsi kwenye uendeshaji wake ili kuwe na huduma za kisasa na za Kimataifa. Akiongea Visiwani Zanzibar leo August 16,2024...
  15. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hiki kilichofanywa na Klabu ya Pyramids ya Misri dhidi ya Klabu ya JKU ya Zanzibar siyo Dharau kwa Wazanzibari na Watanzania kwa Ujumla?

    Baada ya kuona Klabu ya JKU ya Zanzibar ina Umasikini ( Ukata ) hasa katika Kushiriki Michuano ya Kimataifa Klabu ya Pyramid kutokea nchini Misri imeamua kutumia Umasikini wa JKU ya Zanzibar kwa kuwaomba Wakubali kucheza Mechi zao zote Mbili huko Misri na kwamba wasikubali kuja Kucheza mchezo...
  17. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania RC wa Kusini Unguja: Beach Boys Watakaorubuni Wake za Watalii Watafukuzwa,Asema Wanavunja Ndoa za Watu na Watalii Kuichukia Tanzania

    Hoja. Hiyo sio hoja ya msingi bwana RC yaani huyo Mke wa mtalii ni mpumbavu kiasi gani Hadi aone beach Boys ni WA Maana kuliko mumewe? Mambo Private Serikali haitakiwi kuingilia ,yaachwe kama yalivyo ================= Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar Ayoub Mohammed Mahamoud...
  18. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa Zanzibar

    Habari za mida hii? Natumaini yangu wote hamjambo. Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa zanzibar maana huku bara bei zake ziko juu sana ase mapaka kero. Mashine hasa ninayotaka ni Husqvarna 268 na 272. Asanteni wote.
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC Ayoub Mohamed akemea tabia ya vijana wa Beach ya Kusini Unguja kuiba wake wa Watalii

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Ayoub Mohammed Mahamoud amekasirishwa na kukemea tabia zilizokithiri kwenye fukwe za Bahari za Zanzibar kwa baadhi ya Ma- Beach Boys kuwalaghai Wake wa Watalii wanaoingia Zanzibar na kuanzisha nao uhusiano na hata kuwasababisha kuvunja ndoa zao jambo ambalo...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Zanzibar haina sarafu yake yenyewe?

    Najiuliza, kama himaya fulani inajiita nchi, ina Rais, nk. Ni kwanini haina sarafu yake?
Back
Top Bottom