zanzibar

  1. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini Zanzibar haina sarafu yake yenyewe?

    Najiuliza, kama himaya fulani inajiita nchi, ina Rais, nk. Ni kwanini haina sarafu yake?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa simba, yanga watimba Zanzibar kunogesha tamasha la kizimkazi

    Mashabiki maarufu wa Simba na Yanga wakiwakilishwa na Miraji Maramoja, Mzaramo, Mwalimu Yanga pamoja na Jimmy Kindoki wamewasili Zanzibar kunongesha tamasha la Kizimkazi ambapo watachuana mechi ya kirafiki siku hiyo ya kilele Agosti 17, 2024. Tamasha hilo limeandaliwa na Mwanamke Initiatives...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Wadau zaidi ya 1000 kukutana Zanzibar kujadili namna matibabu ya matatizo ya moyo yanavyoweza kupatikana kwa urahisi Afrika

    Wadau zaidi ya 1000 kutokea mataifa takribani 40 hususani ya Afrika wanatarajiwa kukutanishwa Zanzibar na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), April 2025 katika mkutano wa tatu ambao utalenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kufanikisha urahisi wa matibabu yanayohusisha matatizo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Mtanganyika anaweza kwenda kuwa Rais wa Zanzibar?

    Naomba nipate ufafanuzi wa kisheria hivi mtu kutoka Tanzania bara yaani Mtanganyika anaweza kwenda kugombea urais Zanzibar?
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Ofisi ya Mambo ya nje - Zanzibar

    Waziri Kombo akutana na kufanya mazungumzo na Watumishi wa Ofisi ya Mambo ya nje - Zanzibar Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), pamoja na Naibu Mawaziri, Cosato Chumi (Mb.), na Dennis Londo (Mb.), wamekutana na kufanya mazungumzo na...
  6. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Link hebu nipeni Link ya Kuangalia Mtanange wa Leo kwani Mtaalam wangu wa Zanzibar kaniambia nifurahi kuanzia sasa

    Kama unaijua Link yoyote ile ambayo itaonyesha huu Mtanange niwekee hapa kwani tayari Kazi imeshakwisha Zenji.
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Waamuzi kutoka Zanzibar kwanini wachezeshe mechi za Tanzania Bara?

    Kwa muda mrefu, hayati Hafidh Ali alikuwa anaonekana kama taswira ya waamuzi bora kuwahi kutokea Zanzibar, akiaminiwa na IFOZA wakati huo na baadaye ZFA na sasa shirikisho la Soka la Zanzibar (ZFF), na hadi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) na lile la dunia, FIFA. Hafidh Ali hakuishia kuchezesha...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Mawaziri toka Zanzibar

    Katika kudumisha Muungano, Ni vyema kuwatambua Mawaziri toka upande wa pili wa Muungano. 1. Masauni (Mambo ya Ndani), 2. Kombo (Mambo ya Nje), 3. Mbarawa (Uchukuzi),
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Vita ya kisiasa baina ya Tanganyika na Zanzibar ipo wazi sasa

    Heshima sana wanajamvi, Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa na watu wawili ambao sasa hawapo, tena bila ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili sasa unapitia katika msuko suko mkubwa. Ni wazi Mwl Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume waliziunganisha zao Tanganyika na...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wimbo wa Taifa la Zanzibar

    Nimeusikiliza leo kwa mara ya kwanza, lakini sijaufaidi vilivyo kwa sababu siyajui maneno yake. Tafadhali anayeyafahamu anisaidie. Asante.
  12. Replica

    JamiiForums Tanzania Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

    Ripoti mpya kuhusu hali ya uhalifu nchini Tanzania imebaini ongezeko kubwa la kesi za ubakaji na ulawiti, ambapo mikoa ya Zanzibar, Arusha, na Morogoro inaongoza kwa kiwango kikubwa. Ripoti hiyo, inayoshughulikia takwimu kutoka Januari hadi Desemba 2023 pia inaonesha kwamba Mjini Magharibi ya...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Je, Zanzibar ni Sauzi?

    Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu. Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari. Baada ya muda kutokana na visa...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Explore Zanzibar with Mayrah

    Greetings mates. My name is Mayrah and I am writing to share with you a 2 days/1 night itinerary for you to visit Zanzibar this summer. This travel plan is only meant for a group of 5 Tanzanian citizens but can be customized to suit any number of people. I have also attached an outline of the...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwani kuna Tishio lolote Zanzibar? Kama hakuna kulikoni 'Dogo' ana Ulinzi mkali ulio makini mno?

    au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
  16. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mtaje msanii yeyote wa Hip Hop anayetokea Zanzibar

    Taja!!!!
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Sensa ya 2022: Zanzibar wako vizuri kuliko Tanzania bara

    1. umiliki wa simu kwa watu wenye umri miaka 15+ Tanzania bara= 82.5% Zanzibar= 88.8% 2. Kaya kumiliki nyumba au makazi yao Tanzania bara= 64.5% Zanzibar= 71.3%
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa wa Zanzibar hawanunuliwi, badala yake tunanunuliwa Watanganyika tu?

    Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta. Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari. Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika. Kulikoni Watanganyika?
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Picha: Hemed Abdulla arejea Dar kutoka Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwa ameambatana na Mwenza wake Mama Sharifa Omar Khalfan wamerejea Zanzibar wakitokea Jijini Dar es Salaam kwa shughuli za kikazi tarehe 30 Juni, 2024.
Back
Top Bottom