Mfahamu Bi Kidude Malkia Wa Taarabu Zanzibar

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
92
122
Jina lake halisi ni Fatuma Binti Baraka, inakadiriwa kua alizaliwa mnamo mwaka 1910 huko Unguja.

Alikiri kujifunza muziki kwa mwanamuziki wa zamani maarufu kama Sitti binti Saad. Mbali na kuimba alikuwa na kipaji cha kupiga ngoma.

Bi Kidude amewahi kujinyakulia tuzo mbalimbali katika muziki, baadhi ya tuzo hizo ni pamoja na tuzo ya Maisha ya Tamasha la Filamu la Nchi za Jahazi (ZIFF) mwaka 1999 na tuzo ya World Music Expo (WOMAX) mwaka 2005.

Malkia huyu wa Taarab aliaga dunia mwaka 2013 kutokana na maradhi ya Kisukari na uvimbe kwenye kongosho akiwa na umri wa miaka 103.

Katika kumuenzimalkia huyu ni nyimbo yake gani unaikumbuka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom