figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,459
- 61,726
Mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa, amesema yupo tayari kuiondoa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara na kuihamishia Zanzibar, akidai kuwepo kwa ukosefu wa haki katika uendeshaji wa ligi.
Bakhresa amesema uamuzi huo
unatokana na kile alichodai kuwa ni waamuzi kutotenda haki katika baadhi ya mechi za timu hiyo.
Amedai kuwa iwapo hali hiyo itaendelea, Azam FC ipo tayari kuondoka kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kuhamia Zanzibar