Simba haiwezi chukua Ubingwa kwa Azam Zanzibar

Nilisema na nasema tena. Simba haimfungi Azam Zanzibar. Kupeleka kule ni mkakati Maalum

Azam kwao ni Zanzibar kama hamjui. Nimekaa hapa
Sema Azam akicheza na Simba anapania na anakaza sana tofauti anapocheza na Yanga hasa kwenye mechi muhimu za maamuzi kama hii ya leo.

Angalia ile ya ligi waliocheza dhidi ya Yanga last time, walikua kama watoto wa UMITASHUMTA au UMISETA, sijui kwanini au ndio mabifu ya SSB na MO!!!
 
Aliyemtoa Yanga kwenye nusu fainali ni nani kama Azam huwa haimkamii Yanga
 
Back
Top Bottom