Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,159
Reaction score
893
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:

1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.

2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.

3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.

4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.

5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.

6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.

7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.
IMG-20260709-WA0093.jpg
 
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:

1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.

2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.

3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.

4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.

5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.

6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.

7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Cdm wasije wakakosea wakauvaa huu mkenge. Maridhiano ni utapeli wa wazi.
 
Upuuzi mtupu ,rekebisheni katiba yao ,sijaona kuondolewa upigaji wa kura siku mbili kwenye uchaguzi mkuu.
 
Kwani wamekubaliana kuhusu nini hasa? Kwa sababu hii ni misingi ya kuzingatia kuhusu utekelezaji wa hayo makubaliano, hayo makubaliano ni yapi hasa?
 
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:

1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.

2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.

3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.

4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.

5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.

6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.

7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Kwanza niwape hongera kwa hatua mliyofikia ila haya ni maridhiano baina ya ACT na CCM yakugawana vyeo na posho sijui kama yananafuu yoyote kwa mwananchi wakaida wa Zanzibar kwahiyo Mimi niwatakie ulaji mwema.
 
..hawa walikuwa wanatafuta namna ya kupiga per diem / posho.

..haiwezekani kukusanya attention ya nchi nzima kwa hicho walichotuletea.

..halafu wanasema wamefanya kazi kwa miezi saba kuja na hilo tamko.

..mnaweza kuketi baa na msimalize bia mbili mbili tayari mkatoka na tamko kama hilo.

..very stu&pid people.
 
Watu wanaona kabisa hawawezi kuchaguliwa na watanzania, wanalazimisha kuwa madarakani kwa kuua,halafu wanasema njooni turidhiane.
Katiba na tume huru ya uchaguzi vidaiwe sanaaa
 
Katika waraka wa maridhiano uliowasilishwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Ahmed Mohamed, pande zote mbili zimekubaliana kuzingatia misingi saba muhimu itakayoongoza utekelezaji wa makubaliano hayo:

1. Kuimarisha ushirikiano wa dhati kwa kuzingatia hali halisi ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ya Zanzibar, pamoja na changamoto na fursa zilizopo.

2. Kuchukua hatua madhubuti na stahiki katika kuhakikisha makubaliano yote yaliyofikiwa yanatekelezwa kwa ufanisi na kwa wakati.

3. Kuhakikisha mchakato unakuwa shirikishi, kwa kuwahusisha wadau muhimu pale inapohitajika ili kujenga uelewano na umoja wa pamoja.

4. Kuongozwa na misingi ya ukweli, uwazi na uaminifu, huku maslahi mapana ya Zanzibar yakiwekwa mbele kama kipaumbele kikuu.

5. Kutekeleza ajenda zilizokubaliwa kwa hatua, kwa kufuata mpango na mfumo maalumu utakaowezesha utekelezaji wenye tija na uendelevu.

6. Kuanza utekelezaji mara moja bila ucheleweshaji baada ya kusainiwa kwa tamko la maridhiano, ili kuhakikisha matokeo ya makubaliano yanaanza kuonekana kwa vitendo.

7. Kuendeleza majadiliano na ushirikiano kupitia kamati ya pamoja, hadi kufikiwa kwa suluhisho la kudumu la kisiasa lenye kuzingatia maslahi ya Zanzibar.View attachment 3625737
Walichokubaliana ni Siri?
Agenda zilikuwa zipi kwa ufupi?
 
Maneno matupu ya wanasiasa nakupa muda siyo mrefu tutaanza kusikia vilio hasa kutoka ACT.
Mkuu, ACT walishauza chama siku nyingi, siku hizi kilauchaguzi ukiisha wanafanya kikao cha kugawana vyeo. Ndiyo maana mimi huwa nasema Maalim Seif (RIP) ni mmoja wa viongozi waliomalizia uanasiasa wao kwa usaliti mkubwa. Baada ya kuona uzee umeingia na anachotaka hakipatikani akaamua kusaliti wazanzibar kwa kukubali kupewa cheo cha geresha. Yule mzeee alimaliza vibaya sana na hakujali wanzazibar wote waliokufa kwa ajili yake.
 
Back
Top Bottom