Ndugu, wana Jamii forums,
Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano huo pamoja na habari zingine za kijasusi.
Naomba baada ya kusoma Nyakara zote, then tuendelee na...
The Article of Union between the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar
WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples Republic of Zanzibar, being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and...
Zanzibar kujiunga na OIC kivyake
2009-01-27 10:14:33
Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kwamba itaiomba Serikali ya Muungano kuiruhusu Zanzibar kujiunga na Umoja wa Nchi za Kiisalm(OIC) endapo mpango huo utashindwa kufikiwa na Serikali ya Muungano...