zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yanunua mashine yake ya kupimia sampuli za COVID19, itapokelewa visiwani humo kesho

    Waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashid amesema Zanzibar imeamua kununua mashine yake ya kupimia maambukizi ya Covid 19 ili kurahisisha upimaji na kupata vipimo kwa wakati. Mh Hamad amesema mashine hiyo itawasili nchini Zanzibar kesho na baada ya kufungwa takwimu zitaendelea kutolewa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  3. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu ya CCM itakutana lini kutangaza tarehe za kutolewa fomu za wagombea urais Zanzibar? Muda unaenda ujue!!

    Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October. Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

    Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa #COVID19 na kufanya idadi ya maambukizi visiwani humo kufikia 134. Wagonjwa wote waliotangazwa leo ni Watanzania Pamoja na ongezeko hilo, Wizara pia imesema wagonjwa wengine watano wamefariki dunia na 11 wamepona na kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto aituhumu Serikali kuficha takwimu za wagonjwa na vifo vya COVID-19, adai Zanzibar pekee vifo ni 32 na wagonjwa 235

    Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wa Zanzibar amedhibitiwa ? Taarifa za Corona zazimwa !

    Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya. Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k. Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Baraza la Wawakilishi Zanzibar latoa fedha zote zilizobakia kabla halijavunjwa kutengeneza Barakoa na kuwagawia wananchi

    Baraza la wawakilishi Zanzibar ambalo liko kwenye mkutano wao wa mwisho kabla halijavunjwa rasmi limeamua fedha zote zilizobaki kwenye akaunti zitumike kutengeneza Barakoa ambazo zitagawiwa bure kwa wananchi. Fedha hizo atakabidhiwa makamu wa Rais balozi Seif ili azikabidhi kwa vikosi vya...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua ambazo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezichukua hadi sasa katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona ni kama ifuatavyo:-

    1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa 2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa 3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini sukari kwa upande wa zanzibar haizidi Tsh 1,800/= kwa kilo, Wao wana viwanda vingapi?

    Zanzibar kuna viwanda vingapi vya sukari wakuu, mbona wao bei iko chini.. huku kwetu chai imeshakuwa anasa sasa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza wagonjwa wapya 23 wa COVID-19. Idadi ya maambukizi yafikia 58 na 170 kwa Tanzania ( 19.04.2020 )

    WAGONJWA WA COVID-19 WAFIKIA 58 Z’BAR, VIFO VITATU Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 visiwani Zanzibar imeongezeka na kufikia 58 na idadi ya waliofariki kwa ugonjwa huo sasa ni watu watatu. Wizara ya Afya Visiwani humo imetangaza leo kuwa kati ya wagonjwa wapya 23, wagonjwa 21 ni Watanzania na...
  13. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais Zanzibar vipi ningetatua matatizo ya Muungano. Ni mambo Matatu...

    1) Tukumbuke Mwalimu Julias Kambarage Nyerere alisema sitawapiga Mabomu Wazanzibari wakikataa Muungano haki hio tunayo. Kama Rais Naamrisha Wabunge wote Wa Zanzibar ikiwa CCM au CUF ACT. Kutoka Bungeni Kurudi Zanzibar. 2) Nikiwa kama Rais wa Zanzibar Nasitisha Shughuli zote za Kimuungano...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Zanzibar yapiga marufuku mikutano ya waandishi wa habari

    Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa. Source: Clouds tv
  15. JamiiForums Tanzania CoronaVirus: Katika kujikinga na COVID19 mikusanyiko ya Waandishi wa Habari yazuiwa Zanzibar

    Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa #COVID19, Serikali imesema kuanzia leo mikutano ya Waandishi wa Habari na shughuli nyingine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa Hivyo, taarifa za Waziri wa Afya kuhusiana na ugonjwa huo zitatolewa kwa njia ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini taarifa ya Corona kwa Tanzania bara na Zanzibar isiwe moja tu?

    Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi. Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy...
  17. JamiiForums Tanzania Wagonjwa wawili wa COVID-19 waongezeka Zanzibar, wanatokea Tanzania Bara na hawana rekodi ya kusafiri nje ya nchi

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid atangaza kuongezeka kwa wagonjwa 2 na kufanya idadi ya wagonjwa 9. Wagonjwa hao 2 ni watanganyika na hawajawahi kusafiri kwenda nje ya nchi. Taarifa kamili inafuata. UPDATE. Wagonjwa Tanzania wafikia 32 na vifo 2 zaidi na kufanya idadi ya waliokufa...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza maambukizi mawili huku wote wakitokea Tanga na kuingia Zanzibar

    IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba. Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

    Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake. Source ITV habari!
  20. J

    JamiiForums Tanzania Uhakiki: Msajili akuta madudu NCCR Mageuzi na CHAUMA Zanzibar. Kimoja ofisi ziko sebuleni kwa mtu na kingine mali zake ni kiti na meza basi!

    Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar. Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…