zanzibar

  1. K

    JamiiForums Tanzania Fumbo la Urais CCM Zanzibar 2020: Salamu kwa Mwenyekiti wa chama na timu yake

    Muda unakwenda kwa kasi sana. Tutashuhudia mengi pia. Kwa muda wa miaka 4 na ushei, kuna mambo ambayo hayasemwi hadharani ndani ya CCM hasa Zanzibar. Kwa ufupi wa maneno CCM Zanzibar wana fundo rohoni, wamehifadhi mengi kuhusu mwenendo wa chama chini ya ndugu Mwenyekiti Magufuli. Hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar

    Mgombea Namba 13: Abdulhalim Mohamed Ali amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar ni mwanajeshi ambaye alikwenda kupigana vita Uganda yeye ni mwana CCM tokea 1978 alianzia Migombani wakati akiwa jeshini na anaona anahitaji kuleta maendeo Zanzibar .
  3. JamiiForums Tanzania Mgombea Namba 15: Dk Khalid Salum Mohammed achukua fomu ya Kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM

    Mgombea Namba 15: Dk Khalid Salum Mohammed aliyekuwa waziri wa fedha Zanzibar Leo wamejitokeza ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kisiwandui kuchukia fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar
  4. JamiiForums Tanzania Namba 22: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa), achukua Fomu ya kuomba kugombania Urais wa Zanzibar kupitia CCM. Ajitoa kwenye kinyang'anyiro

    Muwakilishi wa Jimbo la Mtoni, Mh: Hussein Ibrahim Makungu (Bhaa) nae amejitokeza kuchukua Fomu ya kuomba ridhaa ya kugombania Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM. Bhaa anafikisha idadi ya Wagombea 22 waliojitokeza kuomba ridhaa ya kugombania Urais wa Zanzibar akiwa yeye ni miongoni mwa...
  5. JamiiForums Tanzania Namba 21: Ni Bakari Rashid Bakari achukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Mgombea Namba 21: Ni Bakar Rashid Bakar ni miongoni mwa wagombea wa kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  6. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru ashangaa watu 12 kujitokeza kutaka urais Zanzibar, adai wengine wanatumika na mabeberu kutaka kuvuruga nchi yetu

    Katibu mkuu wa CCM ashangaa watu ama wanachama 12 kujitokeza ndani ya CCM kuutaka urais. Anashangaa nafasi ni 1 ya urais watu 12 wanatafta nini? Awatuhumu wengine kua wanatumwa na mabeberu kuvuruga chama na kuleta mvurugano nchini. Anasema hao wanachama wa CCM 12 wanaoutaka urais wanataka...
  7. JamiiForums Tanzania Namba 19: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amechukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Masauni anakuwa mwanachama wa 16 wa chama hicho kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
  8. JamiiForums Tanzania Namba 18: Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

    Waziri wa Kilimo, Mali Asili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amefika kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar. Mmanga anakuwa mgombea wa 18 kuchukua nafasi hiyo kupitia CCM.
  9. JamiiForums Tanzania Namba 16: Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma achukua fomu ya Urais Zanzibar kupitia CCM

    Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utalii na Utamaduni Zanzibar, Rashid Ali Juma amekuwa Mgombea wa 16 kuchukua Fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar
  10. JamiiForums Tanzania Adam Shafi katimiza miaka 80: Kalamu ya Shafi katika kuieleza Zanzibar

    ADAM SHAFI KATIMIZA MIAKA 80: KALAMU YA SHAFI KATIKA KUIELEZA ZANZIBAR Nilikuwa nimeanza kukisoma kitabu ‘’Haini,’’ cha Shafi Adam Shafi na haikunichukua muda kutambua kuwa mikononi mwangu nina kitabu ambacho ni ‘’masterpiece,’’ yaani kitabu kilichosheheni ujuzi wa hali ya juu sana katika...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hadi sasa watu watatu wamejitokeza kutaka Urais wa Zanzibar akiwemo Mohammed Ayoub

    Mohamed Ayoub Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu umma wa Watanzania kupitia Mkutano huu kuwa jumla ya Wanachama 3, wamejitokeza kutia nia kuwania uteuzi wa kupeperusha bendera, kugombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu utakao fanyika...
  12. JamiiForums Tanzania Historia ya kina Zanzibar

    Zanzibar mwaka 1200 HISTORIA YA NENO ZANZIBAR:Ukweli ni kwamba kila kilichopo hapa duniani kina historia yake. Na ifahamike kuwa kabla ya kuja kwa wageni katika bara la Afrika, kila kitu kIlikuwa na jina lake. Na majina mengi yaliyokuwepo na mengine bado yalikuwa na huhusiano wa karibu sana na...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?

    CCM wana maana gani kuandika Fomu zao za Urais ni za kuwania Uongozi katika Vyombo vya Dola?
  14. JamiiForums Tanzania CAG wa Zanzibar ni nani?

    Swali linajieleza. Nani CAG wa Zanzibar? Mbona ripoti zake hazisikiki. Je, hakuna ufisadi wa kulipua huko Zanzibar? Kama huyu CAG wa Bara Ndugu Kichere ndiye CAG wa Zanzibar, mbona hatumsikii akiitaja Zanzibar katika ripoti zake?
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar kufungua shule na kurejesha shughuli za kijamii kuanzia Juni 29

    Raisi wa zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ametangaza rasmi kufunguwa skuli zote nchini pamoja na shughuli za kijamii kuanzia Juni 29 baada ya kupunguwa kwa kasi ya maradhi ya covid-19 Nchini . Akizungumza katika hutuba ya kulivunja baraza la wawakilishi la...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utitiri wa watiania kiti cha Urais Zanzibar

    Wadau, Mpaka leo 19/06/2020 wanachama 13 wa CCM wamechukua fomu kuwania kuteuliwa ili kugombea nafasi ya Urais katika visiwa vya Zanzibar. Idadi hii sio haba, je ni kukua kwa demokrasia au kudhoofika? Je, hatma yake ni shwari au sharii? Yajayo yanfurahisha. CCM oyee === ---
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: CUF walalamika kuporwa ofisi na ACT Wazalendo. ACT yawajibu waende kudai Mahakamani na sio kwenye press

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema kuwa kama chama cha CUF wanadai kuwa ofisi zao zilizopo visiwani Zanzibar, zimechukuliwa na chama hicho, basi wapeleke malalamiko yao Mahakamani na siyo kwenye vyombo vya habari, na kutaja tarehe rasmi ya kuanza mchakato wa watia nia. Hayo...
  19. JamiiForums Tanzania Urais Zanzibar: Kwanini nawapa chapuo Makame na Mwinyi

    Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Prof. Makame Mbarawa amechukua fomu za kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya urais kupitia chama cha mapinduzi uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu mwezi wa kumi (Oktoba). ☝PICHA: Prof. Makame Mbarawa kushoto na Dr. Hussein Mwinyi kulia. Profesa Mbarawa...
  20. JamiiForums Tanzania Namba 12: Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM

    Haji Rahid Pandu amechukua fomu ya kuwania kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi. Ni mgombea wa 12 kuchukua fomu za kuwania Urais wa Zanzibar
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…