Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo tunaweza kupata kitu tunachohitaji Ila life is so tasteless.
Ukiangalia kila MTU anatafuta furaha katika Pombe , Weed , sex , Entertainment n.k
Kila nikikumbuka those era , life was so great. In term of living watu waliishi pamoja , kutembeleana Ku -have...