Zamani kulikuwa na Bank Meridian BIAO

Zamani kulikuwa na Bank Meridian BIAO

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,071
Reaction score
15,156
Hii benki ilikimbia na pesa za watu kadhaa...vikiwemo vijisenti vyangu....

Nikaomba ushauri kqa mwanasheria fefenge kwamba tuishtaki benki kuu kwa manake wao ndio the last resort...

Yule mwanaaheria akaniambia achana na hayo mambo kwamba Mungu atanilupa.

Alisema haya baada ya kupata uhakika kwamba ule mchongo kulikuwa na walubwa fulani fulani..Leo hii baadhi weshakufa(walidhani wangeishi kwa dhuluma).

Anyway kwa sasa CRDB?? SINA SWALI HAPA NITALOGA WATU....STAND BY....
 
Meridian BIAO BANK walikuwa na bonge LA Tangazo! Yaani lazima ushawishike pole sana mkuu😀
 
Hii benki ilikimbia na pesa za watu kadhaa...vikiwemo vijisenti vyangu....

Nikaomba ushauri kqa mwanasheria fefenge kwamba tuishtaki benki kuu kwa manake wao ndio the last resort...

Yule mwanaaheria akaniambia achana na hayo mambo kwamba Mungu atanilupa.

Alisema haya baada ya kupata uhakika kwamba ule mchongo kulikuwa na walubwa fulani fulani..Leo hii baadhi weshakufa(walidhani wangeishi kwa dhuluma).

Anyway kwa sasa CRDB?? SINA SWALI HAPA NITALOGA WATU....STAND BY....
Unaposema ulikuwa ni mchongo wa wakubwa na sasa wameshakufa, walidhani wataishi kwa dhulma.
Unamaanisha kuwaukidhulumu ndo unakufa? na usipodhulumu haufi?
 
Ile bank ilikufa HQ kwao Uganda kwa EA....hapa ikashindwa kujiendesha...poleni wadau....FBME pia...hivi karibunii
 
Back
Top Bottom