zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Madai ya watu kuishi Hifadhi ya Ngorongoro na wanyama pori kuwa ni kuvutia utalii ni ujinga

    Hivi karibuni kumezuka mijadala mingi juu ya uwepo wa zaidi ya watu zaidi ya laki Moja kuishi hifadhi ya Ngorongoro kuwa ni njia Moja wapo ya KUVUTIA UTALII ni ujinga na upuuzi usio vumilika hata kidogo. Tumeshudia Waandishi wa habari Maulid Kitenge na Oscar Oscar Mzee wa Kaliua wakiwa...
  2. Uzi maalum: Magari amazing ya zamani hadi sasa

  3. Jengo lililotelekezwa Mwenge Stand ya Zamani lingeweza kupunguza hadha ya wamachinga wanaotaabika

    Wana JF Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
  4. Utitiri wa One za point 7: Je, wa zamani tulikuwa vilaza au elimu imekuwa rahisi?

    Mtakua mmeshuhudia kwamba kuna shule karibia asilimia 90 wamepata 1.7, means karibia darasa zima kila mtoto ana A masomo yote. Nimejiuliza maswali kadhaa nimekosa majibu: 1. Je, zamani tulikua vilaza? Kiasi kwamba nchi nzima div. 1 point 7 unakuta hazifiki hata 20, na utazikuta chache Ilboru...
  5. D

    Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  6. katunı ya leo Tujikumbushe ya Zamani

    Tujikumbushe ya Zamani
  7. Mapenzi sio poa kabisa: Ulichukua muda gani kurudi kama zamani?

    Vipi imewahi kukutokea hii, yani ulikuwa unampenda sana mtu Then hakukuoa/hakuolewa na yeye. Akaja akaoa/akaolewa na Mwingine kabisa? Kuna vitu vinaumiza sana sio siri.
  8. Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

    Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi. Tanzania...
  9. Rais wa zamani wa Afghanistan asema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka Kabul

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani amesema hakuwa na chaguo jingine ila kuondoka haraka Kabul wakati Wataliban waliukaribia mji huo mkuu. Ghani amekanusha kuwa kulikuwa na mazungumzo yaliyokuwa yanaendelea wakati huo ya makubaliano ya kuwachia madaraka kwa amani, kama walivyodai...
  10. Sikukuu za Krismasi za zamani ni tofauti na za sasa hivi

    Nakumbuka zamani Christmas ilikua sikukuu kubwa kuliko hata mwaka mpya kwa familia yangu.. ilikua inasherehekewa kwa namna ya kipekee sana kwanza Christmas ilikua ni lazima siku hio mvua inyeshe so inakua na theme ya ubaridi mvua na matope. Lakini sidhani kama hio kitu bado ipo. Zamani...
  11. Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Mambo vipi wanajamii. Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa...
  12. Tujifunze kushukuru! Zitto hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu tangia zamani

    Niwakumbushe nyinyi mlioingia kwenye siasa juzi, mjue kwamba Zitto kwa kumuomba rais amwachilie mbowe hatafuti umaarufu, alishakuwa maarufu wakati ambao hawa wanaopiga kelele wote hawapo. Zitto kabla ya Lissu alikuwepo na alikuwa maarufu, kabla ya mnyika, Kigaila Heche, Msigwa, Sugu na...
  13. Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwaajili ya mpenzi wake wa zamani

    Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kinachofanywa na mpenzi wako ni kwa ajili ya mpenzi wake wa zamani, mahusiano hayadumu siku hizi kwasababu tunawapata watu wanaowapenda na kuwakumbuka watu wao wa zamani, tunakabiliwa na ukosefu wa amani ambao hatukuusababisha sisi. Tunachumbiana na kuwa kwenye...
  14. Kuna familia zinauza bangi / gongo mitaani toka zamani mpaka watoto wamerithi, hili linawezekana vipi?

    Kuna nyumba zimezoeleka miaka nenda rudi kuuza bangi na gongo mitaani, hadi sasa ukienda zinaendelea, unaweza kukuta watoto ndio wanaoziendeleza baada ya wazazi wao kustaafu. cha ajabu mapolisi wapo, na tena huwa wanabadilishwa wanakuja wengine wapya. Wote tunajua kuuza huu mmea ama gongo...
  15. Video: Maoni ya Mzee Kasyupa Lumuli Alipipi kuhusu Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

    Kwa wasiomfahamu huyu Mzee amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kyela na Naibu Waziri wa Kilimo, wakati wa utawala wa Nyerere, ni Mcha Mungu sana na ni miongoni mwa wazee wanaoheshimika sana Wilayani Kyela na Mkoa wa Mbeya kwa Ujumla. Hebu chota busara hizi kutoka kwake
  16. Je, ni sahihi mke kudai mume afute kumbukumbu za picha za mkewe wa zamani?

    Jamaa yangu mmoja alioa akapata watoto watatu katika ndoa ya kwanza kisha wakatalikiana na mkewe kwa sababu zisizoweza kuzuilika. Baada ya muda, jamaa akaoa tena. Mke mpya ana wivu balaa. Sasa imefika wakati mke anataka mume afute kumbukumbu zote za picha za familia yake ya kwanza kwenye laptop...
  17. Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  18. Watakatifu ni wazungu waliokufa zamani. Waafrika waliokufa zamani eti ni mizimu

    Ni upumbavu wa hali ya juu wazee wetu waliotangulia mbele ya haki kuitwa mizimu halafu wale wazungu kuitwa watakatifu, nakereka sana. Utasikia mtakatifu Yohana utuombee. Halafu sisi tukiwaambia wazee wetu watuombee mnasema tunaabudu mizimu. Halafu sipendi kabisa mnavyosema sisi ni wapagani...
  19. TANZIA FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85

    FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha mpito cha taifa kuelekea demokrasia, alikuwa amepatikana na saratani mwaka huu, kulinagana na...
  20. Mfumo wetu wa jua ulivyo jiumba hapo zamani za kale

    FAHAMU SAYARI ZETU 8 ZILIVYOJIUNDA 🤔 Sayari zimeanza kujiunda mara baada tu ya mfumo wetu wa Jua ulivyomaliza kuundika kutokana na mawingu mazito yenye gesi na mavumbi mavumbi yatokayo huko interstellar space Mawingu mazito yalipasuka kutokana na mvumo au twaweza kusema shockwave iliyotokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…