Kila zama na nyakati zake

Kila zama na nyakati zake

Eugene Krabs

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2026
Posts
334
Reaction score
698
Madogo hizo akili na huo weledi hamna.

Life goes on

Be it wahusika wenyewe wa JF, bado hawajaelewa somo.

Kuna watu wapya, hawa wana access ya internet; bado hawajui mipaka ya social etiquette.

Utanielewa baadae.
 
Ngoja tuone...


Cc: Mahondaw
‘Dar Es Salaam’ inawenyewe ni kuelewa tuu, kumbe humu JF kuna genge la mataahira kweli wenye uelewa mdogo.

Best wa Abdul ni mtoto wa ‘mama Tabia’ jina lake kapuni; shida yenu moja. Kwanza mna akili za kijinga sana na mko tayari kuumiza watu kwa sababu rahisi sana.

Ndugu mimi nawatukana tu CCM sio kwamba huko juu hawanijui. Lakini sio taahira kama wewe.

Tofauti yetu ili wewe uwe relevant ni kujifanya unanijua mimi kwa boss wako. Wakati mimi nina connection ya kunipa nafasi iliyo juu ya uwezo wako na sihitaki.

Hujui tu namna ulivyo na uwezo mdogo

Sasa uliza huko kazini kwenu namuongelea nani.
 
Back
Top Bottom