zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Ifike mahala Zuchu aambiwe ukweli nyimbo zake za Utoto utoto aache. Kwa mwendo huu naamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu

    Zuchu tumekuchoka mara sukari, mara honey, mara kwikwi sasa katuletea Chapati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kiukweli Zuchu anapuyanga na naanza kuamini Nandy ni bora mara elfu kuliko Zuchu. Kinachombeba Zuchu ni ile kuwa karibu na Simba la Masimba Dangote kwa hiyo inakuwa rahisi ngoma zake kupenya kirahisi. Kifupi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi wanaompokea Rais Samia kwenye ziara zake ni Wananchi au ni Chawa?

    Inawezekanaje Wananchi wanaoshindwa kununua chumvi na Sukari waweze kutengeneza Mabango ya Mapokezi yenye picha ya Rais kwa wingi namna hii? Hebu Jionee hawa wa Mtwara , halafu toa maoni yako.
  4. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Tanzania na tamaduni zake

    Tanga mtoto wa kike akizaliwa tu anavalishwa shanga. Arusha kama huna meno ya dhahabu unatengwa. Manyara usipoua simba we sio mwanaume kamili. Mara demu akiwa hapigwi anaomba talaka. Mwanza mtoto mchanga wa cku 1 anapewa ugali sio maziwa. Kagera huko hata barabara ya vumbi wanaita flyover...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lissu kifungoni, tuji kumbushe anacho simamia

    Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi? Lissu si ndiye huyu? Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli. Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu wa Form Four kozi ipi yapasa nisomee na ajira zake bado zina patikana?

    Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya gereji na changamoto zake

    Habarini wakuu, Natumai mnaendelea vizuri pia poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 22 na pia ni mwanafunzi wa chuo nikisoma kozi ya Mechanical engineering ngazi ya degree na pia naingia mwaka wa tatu katika mwaka ujao wa masomo unaoanza mwezi novemba. Kwa kipindi kirefu nimekuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Akimbia utamu wa mama na binti zake

    Mkasa mkasaaa. Mkasa huu nilisimuliwa zamani kidogo na jamaa yangu mmoja lakini umenikaa kwa kichwa hadi leo. Haya mkasa huu ulimtokea kaka mmoja akitokea moja ya nchi za Afrika ya mashariki, alipoenda kutafuta maisha katika moja ya nchi za mashariki ya kati. Bwana huyu alipata kazi ya udereva...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzee Mwinyi baada ya kujiuzulu Uwaziri, Abdalla Natepe alimzuia kuchukua mali zake kwenye makazi ya Waziri

    Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi kwao Zanzibar ili yeye aweze kuishi hapo kama Waziri. Ilikuwa shida kidogo maana Mzee Mwinyi bado...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Kagame kanifurahisha na points zake

    Yaani huyu mzee nimempenda nampenda nanitampenda!
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu El Nino na athari zake kwa Binadamu na Mazingira

    El Nino ni mfumo wa Hali ya Hewa unaosababishwa ongezeko kubwa la Joto la Bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Hali hii huambatana na Vipindi vya Mvua kubwa vinavyoweza kusababisha mafuriko. El Niño inaweza kusababisha mabadiliko ya Hali Mbaya ya Hewa, ikiwemo...
  12. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi iwe na mfuko wake na fedha zake

    Katika mkutano wa wadau wa demokrasia nchini ulioandaliwa na TCD. Joseph Selasini amesema Tume ya Uchaguzi iwe na fedha zake, iwe na watu wake na namna yake ya kuajiri badala ya kutegemea fedha kutoka hazina. Aidha amesema suala la uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu ufanyike kwa siku...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsajili kwa Kumkopa na Kushindwa Kummalizia Pesa zake 'Dusku' Kaamua kurejea Kwao Bondeni

    Kuliko kupoteza muda na Wapuuzi na Wadhulumati wa Kigamboni Town ni bora Mimi 'Dusku' nirejee Kwetu ili nikasaidiane na Waimbaji wa Amapiano ili nijifunze Styles mpya za Kucheza Nyimbo zao. Nimezoea kuona Wachezaji wengi Wakiondoka JNIA pale Terminal III Wakiwa ni Watu wenye Furaha na...
  14. JamiiForums Tanzania Graph ya Beki Mohammed Hussein Tshabalala Kiuchezaji inapungua sana mwambieni 'Bata K' zake 4 zinammaliza

    Huko nyuma alikuwa na Nidhamu sana ( kwa kuwa Mtu wa Ibada na Kuchukia Starehe ) ila GENTAMYCINE nimesikitika mno tokea mwaka jana ( Msimu ulioisha ) hadi huu wa sasa ulioanza Kiwango chake kimeshuka na kinaendelea tu Kushuka. Tafadhali mliyenae Karibu mwambieni aachane na 'Bata K' zake za...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu maana ya Defence mechanism na aina zake

    Hellow Africa Nataka tueleweshane kidogo vitu vichache. Defence mechanism means unconciouses starteges to avoid or reduce pain. Hii ni njia moja wapo ambayo watu wengi hutumia kupunguza wasiwasi na uwoga hii defence mechanism inakusaidia wewe kupunguza hasira. Types of defence mechanism...
  16. JamiiForums Tanzania Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

    Jamani kwema? Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka? Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha kukuondolea msongo wa mawazo...We Cute Wife mwambie dada Yako apunguze fix. NB:Kama humjui potezea tu maana...
  17. JamiiForums Tanzania Kila kiongozi na falsafa zake

    Tarehe 17 March 2021 ni mwaka ambao watanzania kwa mara ya kwanza walishuhudia tukio ambalo halikuwahi kutokea kabla, Tukio la kiongozi mkuu wa nchi, raia namba moja, Amir jeshi mkuu na mwenyekiti wa chama tawala Mheshimiwa Dr John Pombe Magufuli alitoweka katika ulimwengu huu. Kwa mujibu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka ofisa TRA anayedaiwa kujiua hotelini

    Tanga. Familia ya Richard Walalaze, ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha aliyedaiwa kujiua kwa kujirusha kutoka ghorofani, imesema haiamini kama kweli alijirusha. Imeeleza inatia shaka tukio la kifo cha ndugu yao baada ya kuuona mwili wake katika chumba cha kuhifadhia maiti...
  19. JamiiForums Tanzania Bondia Mandonga adhibitiwe kauli zake za kihuni zisije kuchafua Mchezo wa Ngumi

    "Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
  20. JamiiForums Tanzania Huyu mwamba napenda anavyoflow kwenye ngoma zake, msikilize!!

    Leo jumapili safi nikiwa natafakari wiki inayofuata nikaingia mtandaoni kuokota mambo mbalimbali kushibisha ubongo nikakutana na hii ngoma ya mwamba anaitwa KING KAKA ngoma inaitwa BESTE YANGU ukisikiliza kwa makini hii ngoma jamaa ana zaidi ya uwezo wa kurap yaani ana uwezo wa kufanya nafsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…