Zai Kijiwe Nongwa na nongwa zake

Joannah

JF-Expert Member
May 8, 2020
18,452
42,568
Jamani kwema?

Hivi unajua kuhama Tanzania ni kujitakia pressure? Hivi stress bongo hii unazipatia wapi Kuna kila aina ya vibweka?

Yaani huyu Zai ukisikiliza huu uongo wake tu unatosha kukuondolea msongo wa mawazo...We Cute Wife mwambie dada Yako apunguze fix.

NB:Kama humjui potezea tu maana zai mwenyewe ni celebrity wetu wa Uswazini
 
Zai wetu
Mungu amuweke kabisa...

Ile clip yake ya jana uliiona?Kwamba alipata Bwana Facebook kufika kuonana ananuka Machenza huyo....akamwambia eti yeye ataki machenza
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu. 😂😂😂

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa anacheka hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake! 😂
 
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu. 😂😂😂

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake! 😂
Eti ananukia machenza,jamaniii
Kaniacha hoi amwanavyoenda huko tegetaaa na bunju halafu wanakula kama wapo kwao khaaaa🤣
 
97425b62-fdbc-4bef-924c-be4674e0e1c2.jpg
 
Sasa machenza yana shida gani jamani Zai apunguze gubu.

Enzi hizo hatujaona sura yake tunamsikia tu kupitia hekaheka ya mawingu, Mama yangu alikuwa hadi machozi, siku nimeiona sura yake nikamtumia mama Wasapu alicheka sana, akaah kumbe ndio alivyo, na kweli anafanana na mambo yake!
Yaaani zai hapana jamani...

Mimi mwenyewe wakati namsikia kwenye heka heka na kile kipindi cha Gea J2 cha Taarabu alikuwa ana Segment yake ya Uswazi hivyo hivyo nilikuwa natamani kweli kumuona...

Siku nimekuja kumuona nakumbuka Dr.Isack alimpost akielezea vyoo vya Uswazi nikajisemea tu.. ndiyo huyu kila siku unanifanya nacheka kama mwehu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom