yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. Ileje

    Sasa hivi Samia Yuko Lockdown (Self imposed)

    Nchi pekee ambazo Rais Samia yuko huru kuzitembelea duniani ni Uganda na Burundi kwa wauaji wenzake. Nchi nyingine zote akithubutu kufanya ziara lazima atazomewa 😭! Hii ni aibu kubwa kwa Watanzania!
  2. Sitakuumiza Kamwe

    PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  3. K

    Mamlaka za usalama zituambie yuko wapi Titho Philemon? Wiki inakatika sasa haijulikani alipo

    Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara. Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
  4. kyagata

    Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
  5. Kubwjing

    Yupo wapi bibie Faiza Foxy

    Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu... Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati
  6. The Father of All

    GE2025 Yuko wapi mwamba Samia kwa sasa?

    Kuna machawa nataka kujua walipo wanafanya nini au wamefanywa au watafanywa nini. Na kwanini hawajatembelewa na kutembezewa kichapo? Ni wafuatao: Samuya Sululu Hassami Njaa Kaya Kiwete Abduli toto la mama Wanu Moody Mchengererwa Rizone Kiwete Salma Kiwete Daudi Albert Bashiti Albert Chalamila...
  7. robinson crusoe

    Rostam Aziz yuko wapi? CCM mlisema ni mtanzania halisi

    CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu. Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha. Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura. Tunachezewa sana! Eti...
  8. Poppy Hatonn

    Pascal Mayalla yuko wapi?

    Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea? Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?
  9. R

    Jamani Mchungaji Peter Msigwa yuko wapi?

    Nilitegemea awe kwenye kampeni kuikàndia Chadema, simsikii! Yuko wapi?
  10. Hance Mtanashati

    Yuko wapi Josephat Gwajima?

    Kimepita kipindi kirefu hatujamsikia mchungaji Josephat Gwajima na hii si kawaida yake. Kwa ukimya huu mkubwa bila shaka jamaa huenda walimbananisha haswa hivyo huenda hali yake ki afya si nzuri na bila shaka hayupo Tanzania. Kwa Gwajima tunayemjua mtu asiyekubali kushindwa kiwepesi wepesi kwa...
  11. The Mongolian Savage

    Sidhani afande Tesha yuko nchini

    Na uhakika kabisa Afande C.J Tesha ambae leo ametrend kwenye mitandao ya kijamii yuko nchini. Na kama yuko nchini basi ni ujasiri wa aina Yake huko ndo kujitoa mhanga. Andrew Nyerere tu ile statement yake Rais hakaribishwi Butiama akatembelewa.
  12. DuaZaMama

    Manara aondoa taharuki asema Yuko vizuri, haumwi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara Tv na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Manara ameondoa taharuki kufuatia taarifa zilizosambaa kuhusu hali yake ya kiafya, akihakikisha kuwa yupo vizuri na wala haumwi. Akizungumza hii leo Oktoba Mosi, 2025 Ndugu Manara...
  13. hsnaturalfertility

    CRDB yaendelea kutesa wateja, Regulator yuko kimya!

    Kuanzia tarehe 8 September bank hii ilipoanza kubadilisha system yake ya zamani mpaka leo 30 September hali ya wateja ni tete. Miamala iliyotakiwa kuingia au kutoka kwenye account haijulikani ilipo. Hakuna msaada wowote unaotolewa kwa wateja zaidi ya kuambiwa subiri, bila kupewa tarehe ya...
  14. baz kaiza

    GE2025 JK ni CCM na CCM ni JK mnakata aseme nini na yuko Kwenye kampeni za CCM?

    JK anaeleweka ccm ni JK na yupo kwenye kampeni za CCM mlitegemea atasemaje?
  15. Stuxnet

    Yuko wapi Primi Mushi a.k.a Kuringe mvamizi wa viwanja

    Primi Mushi au Edward Mushi anajulikana vilevile kama Kuringe. Ni mkazi wa Mbezi Makonde na mmiliki wa Kuringe Social Hall na Hall Red zote zipo Mbezi Makonde. Ni maarufu kwa kununua maeneo yenye migogoro, maeneo ya yatima nk. Yadaiwa ni muda sasa hajaonekana Dar es Salaam baada ya timbwili la...
  16. kyagata

    Yuko wapi mstaafu kikwete?

    Huyu baba sio kawaida yake. Haiwezi kupita week hujamsikia kwenye chombo cha habari ,ila nashangaa kawa kimya hata kwenye kampeni za wanafamilia wake haonekani mara kwa mara. Yuko wapi huyu baba?
  17. W

    Umewahi kuwa na mahusiano na mtu ambaye unajua yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine, iliishaje?

    Kuna hii concept ya "Open relationship" kwamba wewe uko kwenye mahusiano na mtu lakini mnapeana ruhusa ya kuwa na mahusiano na watu wengine nje ya mahusiano yenu. Miezi kadhaa iliyopita niliwahi kukutana na rafiki yangu ambaye niliwahi kufanya nae kazi miaka ya nyuma. Ni kijana flani hivi mzuri...
  18. Dennis Robert Shughuru

    Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  19. Webabu

    Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

    Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina. Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma, Kwa kumbukumbu zangu...
  20. GENTAMYCINE

    Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

Back
Top Bottom