ni muhimu sana mzozo wa mashariki ya kati kutafutiwa suluhisho la kimkakati kwa njia ya mazungumzo ya amani,Jamani Putin yuko china USA hawezi kushinda tena vita ya Iran
USA ni Kama CCM imezoea kuishi kwa propaganda tumejua USA bila NATO ni hamna kitu USA bila NATO ni sawa na CCM bila combo vya dorani muhimu sana mzozo wa mashariki ya kati kutafutiwa suluhisho la kimkakati kwa njia ya mazungumzo ya amani,
hakuna haja ya mataifa ya ulimwengu kutafuta ushindi wa vita kwa kuua watu wengi na wasio na hatia 🐒
Ndio huyo huyo Myahudi mweusi wa Nzega vijijini.yule muyahudi na msemaji wa IDF sio?🐒
sifahamu chochote kuhusu mtazamo huo potofu gentleman 🐒USA ni Kama CCM imezoea kuishi kwa propaganda tumejua USA bila NATO ni hamna kitu USA bila NATO ni sawa na CCM bila combo vya dora
Ili mataifa yaendelee kukua kiuchumi yanahitaji nishati,na nishati inayotumika kwa wingi na muhimu katika karne hii bado ni mafuta na gas.ni muhimu sana mzozo wa mashariki ya kati kutafutiwa suluhisho la kimkakati kwa njia ya mazungumzo ya amani,
hakuna haja ya mataifa ya ulimwengu kutafuta ushindi wa vita kwa kuua watu wengi na wasio na hatia 🐒
Baada ya hii vita ya IRAN mashariki ya Kati patatulia sanaIli mataifa yaendelee kukua kiuchumi yanahitaji nishati,na nishati inayotumika kwa wingi na muhimu katika karne hii bado ni mafuta na gas.
Nchi za mashariki ya kati ndio zinaongoza kwa akiba ya hiyo nishati-kwa mantiki hiyo hakuna namna yoyote ile ya migogoro kumalizika katika ukanda huo,labda kuwe na mbadala wa hizo nishati kwa kiasi kikubwa.
Life is all about Uchumi.
IDF ndiye iliyemtanguliza Basha wako Khomenei ahera, uhai wa viongozi wa Iran upo mikononi mwa IDF, ni suala la muda waamumue afe basha wako yupi ?yule muyahudi na msemaji wa IDF sio?
uko sahihi sana gentleman,Ili mataifa yaendelee kukua kiuchumi yanahitaji nishati,na nishati inayotumika kwa wingi na muhimu katika karne hii bado ni mafuta na gas.
Nchi za mashariki ya kati ndio zinaongoza kwa akiba ya hiyo nishati-kwa mantiki hiyo hakuna namna yoyote ile ya migogoro kumalizika katika ukanda huo,labda kuwe na mbadala wa hizo nishati kwa kiasi kikubwa.
Life is all about Uchumi.
Putin huwa namuelewa ILA sikufurahishwa na ziara ya yule babu wa magharibi atembelee China kwa sababu akili yake anaijua mwenyewe...Jamani Putin yuko china USA hawezi kushinda tena vita ya Iran