yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Esmail Qaani aliyemchomesha Ayatolla Khamenei yuko hai Israel

    Esmail Qaani Yuko Hai Israel: Siri ya Usaliti Mkubwa Mashariki ya Kati Ripoti za kijasusi zimeibua tetesi nzito zikidai kuwa Esmail Qaani, mkuu wa Kikosi cha Quds, yuko hai nchini Israel baada ya kutoroka Iran kwa siri. Inadaiwa Qaani alishiriki kikamilifu kutoa ramani na siri zilizopelekea...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

    Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu. Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono. Tatizo linaweza kuwa maeneo haya: 1. Je waliopigiwa makofi mengi...
  3. hamis77

    JamiiForums Tanzania Trump: Tumeondoa uhai wa viongozi 48 wa Iran kwa shambulio moja

    TUMEONDOA VIONGOZI 48 WA IRAN KWA SHAMBULIO MOJA Donald Trump Rais wa Marekani Donald Trump ameiambia Fox News kwamba katika mashambulio ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, viongozi 48 wa kiwango cha juu wa Iran wameuawa “kwa shambulio moja.” Trump alisema operesheni inaendelea kwa...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Khamenei mzima yuko kwenye medani anaongoza Vita.

    Anasema Viongozi wote wa Nchi mpaka mda huu wako salama na Ayatollah Alli Khamenei anaongoza vikosi katika uwanja wa vita.
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Just imagine kama Mwafwere yuko mahali salama anasoma haya yanaendelea mitandaoni kumhusu

    Hawa watu walishatupanga sana tu.. Tena! Si mara moja tuu bali tena na tena! Ila asilimia 99 ya mara zote walizotupanga ni kuhusiana na kifo Ni asilimia moja hivi ndio imehusika na mahusiano, ugoni/fumazini, kufilisika nk! Hili la Mwafwere linaweza kuwa la kwanza kwenye medani za kupangwa...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Luhaga Mpina yuko wapi na anajishughulisha na nini kwa sasa?

    Ile jeuri na kiburi ya kisiasa alokua nayo akiwa CCM bado anayo tena huko ACT Wazalendo? Ama kwa hakika samaki hawezi kuishi nchi kavu. Ngebe zake zote hakuna tena na amekua funzo na darasa la anguko katika uongozi hasa kwa wanasiasa wanaopenda majivuno, ulevi wa sifa na kiburi nonsense. Hata...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni nani yuko nyuma ya huu ujinga!?

    Shirika la Haki za binadamu Duniani la Amnesty International imeikana barua iliyodaiwa kuwa yao iliyokwenda kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), iliyokuwa ikilaani na kukemea kuhusu baadhi ya wanachama wao walioingia nchini Kenya, kujitambulisha kama wakimbizi wa kisiasa na baadae...
  8. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Jasusi Bichwa Komwe ?

    Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE - secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge Cc : Fake P
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Paresso: Rais Samia ana siku 90 yuko ofisini takribani mambo 10 aliyoahidi watanzania anaenda kuyatimiza

    Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mkoa wa Arusha Cecilia Daniel Paresso Cecilia Paresso amesema ahadi ambazo alizitoa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa atatekeleza ndani ya siku 100 tayari ameanza kuzitekeleza ikiwemo mpango wa bima ya afya kwa wote na mikopo kwa wajasiriamali. Akizungumza Februari 2...
  10. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi?? Lissa fickenscher

    Yuko wapi huyu mdada Lissa hajaonekana mda mrefu sana si mtaani wala mitandaoni Ikumbukwe lisssa alikua mdau wa utalii wa ndani Tz miaka ya 2011 pia aKawa manager na mke wa mabeste msanii wa Hip hop, wakapata watoto wawili Mwaka 2019 akaachana na mabeste(akimtuhumu kuwa ni mvivu) na kuolewa...
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Augustino Polepole

    Jamaa alichimba biti zito la mdogo wake kuachiwa ndani ya masaa 24, yakipita hayo masaa atakinukisha vibaya mno. Cha ajabu yamepita masaa, siku, wiki, mwezi hatimaye miezi sasa jamaa hakuna lolote alilolifanya. Je yeye ndiye amefanyiziwa? Huu ukimya unaleta mashaka.
  12. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha sasampa ovyo kabisa sikujua Lil Nas X yuko vile

    Habarini wanajamvi. Kizazi hiki cha sasampa hovyo kabiSA, Sikujua Lili Nas x yuko vile.Nimefuatilia dogo ana laana yule.LAANA ZIENDE KWAKE.Alitembeaga uchi uko marekani alikamatwa aliwekwa sober house,sijajua kesi yake iliishaje.
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi huyu tajiri wa mchongo?

    Aliwaingiza vijana wengi kwenye mkenge wa mafanikio kupitia matarajio hewa Alitukana kukejeli na kudhihaki watu wasiofanikiwa na wanaojitafuta Huyu tuliwahi kusema ni mojawapo ya zile project kuelekea uchaguzi mkuu 2025 Uchaguzi wa kiini macho ulipopita naona umepita naye! Zile fujo zake...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

    Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kesho vijana wanasema wataandamana, Mayalla yuko wapi?

    Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana. Watanzania wanataka amani. Vijana wanataka kuchoma moto nchi. Tufanye nini? Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana. Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Alieimba huu wimbo yuko wap sku hizi

    https://jumpshare.com/s/BPRuo4CnmKJMIEkfPZe4
  18. R

    JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini Tundu Lissu Yuko gerezani?

    Salaam! Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani, Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea? Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa. Ninyi GEN...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wote wanaotaka kuandamana wamekuwa maadui wakubwa wa wananchi, hakuna mwananchi yuko tayari kukaa ndani tena

    Wananchi wengi wanakasirika sana kuambiwa kukaa ndan kwa sababu wanakosa kufanya biashara zao, ukwel ni kwamba itakapotokea mtu anataka kuandamana tena basi wananchi watadeal nae moja kwa moja kwa sababu hawataki kuwekwa ndan tena Hivyo wanaharakati angalieni siasa mnazofanya saaahv msije...
Back
Top Bottom