yuko wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuabudie miungu ya wengine Mungu wetu yupi?

    Allah ni muungu wa waarabu Yehova ni muungu wa waisraeli wanaochangia na wazungu ili nao waonekane wazungu na si waarabu kama ilivyo asili yao. Buddha ni muungu wa wahindu, Je sisi Waafrika Mungu wetu ni yupi?
  2. Etwege

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe yuko wapi?

    Ni miezi sasa inakatika mwenyekiti wa Chadema yuko kimya bila kutoa neno wakati 1. Wagombea wa Chadema wanakatwa nchi nzima 2. Rushwa na pesa chafu zimetapakaa kwenye chaguzi za Chadema 3. Kuna ugomvi mkali kati ya Tundu Lisu na Benson Kigaila 4. Kuna ugomvi mkali kati ya Benson Kigaila na...
  3. Nanren

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwanamziki Tabia Mwanjelwa?

    Kwa wakongwe, mnamkumbuka huyu dada enzi akikipiga na Marquiz du Zaire? Yuko wapi kwa sasa?
  4. Terrible Teen

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ziarani China, Rais Samia ziarani Cuba

    Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
  5. Scolari

    JamiiForums Tanzania Bollen Ngetti yuko wapi?

    Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi? Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019 yuko wapi?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mtangazaji Barbara Hassan

    Wanajamvi ni kipindi kirefu kimepita sijamsikia mtangazaji huyu kwenye vipindi alivyokuwa anatangaza redio clouds. Yu wapi mtangazaji huyu jamani nimemiss sana utangazaji wake.
  7. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda yuko wapi?

    Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
  8. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu Dada alikuwa ni kati ya Mashabiki wa kweli wa Yanga. Sasa hivi yuko wapi!?

    Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan. Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013.. Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB. YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
  9. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Baraka Magufuli? Nimemkumbuka sana!

    Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli. Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa...
  10. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mwalimu Mohammed Abduba Dida aliyefungwa kwa kutoa vitisho kwa mtu

    Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)? Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na kutuma vitisho. Dida amekuwa akitumikia kifungo chake katika kituo cha kurekebisha tabia cha Big Muddy...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba yuko wapi?

    Yuko wapi Mbunge wa Bumbuli, Januari Makamba tangu atumbuliwe uwaziri hajaonekana hadharani kuanzia jimboni hayupo wala bungeni hayupo Je Januari Makamba yuko wapi?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mtoto aliyeimba na Kala Jeremiah 'Wana Ndoto'?

    Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo alirekodi nyimbo 5. Akiwa na miaka 10, alirekodi nyimbo 10 na kutoa albamu yake ya kwanza "Mseme...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Mme aliyeibiwa na dada wa Buza yuko wapi?

    Bwana anayegombaniwa na afande na dada wa buza yuko wapi? Mbona tumemuacha naye ndiye chanzo cha haya yote?
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

    Alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha Magufuli. Yuko wapi?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Nape Nauye?

    Wakuu Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari. Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
  17. tufahamishane

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  18. Heparin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia, Musenge Mukuma kutokana na kuwa na Jina lenye Tafsiri Mbaya kwenye lugha ya Kiswahili

    Mei 29, 2023 kwenye Mtandao wa Twitter, Mtumiaji mmoja alichapisha andiko linalosomeka kuwa Mwaka 2016 Serikali Ilikataa kumpokea Balozi Mpya wa Zambia Nchini Tanzania Bwana Musenge Mukuma kwa kuwa Jina lake linatoa tafsiri Mbaya Katika Lugha ya Kiswahili. Andiko la aina hii liliwahi pia...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  20. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Cyprian Musiba?

    Kwa wale wanamkumbuka huyu jamaa iikuwa haipiti wiki anakuja na nondo hatari. Je, yupo wapi siku hizi hata magazeti yake pia hayasikiki sana, yupo wapi?
Back
Top Bottom