Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

Sunda, tajiri wa madini pale Mererani yuko wapi siku hizi?

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,477
Reaction score
10,339
Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya.

Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani.

Miaka imepita, sijamsikia.
Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani?

RIP Askofu Laizer
 
Pale pamechoka kinyama siku hizi we chalii ya Sing'isi.
Hahaha yani nikikumbukaga enz hizo kuna mavolunteer flan wazungu bado machalii walikujaga wakaanzisha mashindano ya baiskel na tulivyowapapatikia basi maamae mimi kwa misifa nilinyonga bike kama sina akili nzuri hadi nikawa mshindi wa Kwanza. Nikafikiria zawadi itakuwa hela na labda laptop. Nikapewa kakadi kana picha ya teddy bear ina masahihi zao. MAAMAE Niliwamaind.
 
Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya.

Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani.

Miaka imepita, sijamsikia.
Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani?

RIP Askofu Laizer
Sunda sio mkurugenzi wa Iraqw Mining LTD kweli?
 
Yuko kule China ndanindani anafyatua vifaa vya electronics kama radio,TV,solar nk nk
 
Back
Top Bottom