Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,394
Reaction score
9,228
Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa.

Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani alipo bado.Bado tunasubili tamko lake zito la ukombozi.
 
Usimtegemee Gwajima akutetee jitetee mwenyewe. Tatizo linaanzia hapo, fanya wajibu wako, usimtegemee Gwajima.
 
Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa.

Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani alipo bado.Bado tunasubili tamko lake zito la ukombozi.

Kwani huwa hampendi kupewa hata ka muda zaidi, hata na zaidi mno ili ikiwapendeza kuweza kuona busara inaweza iwe na maana yoyote kupisha shari kama ikiweaingia au ikiwezekana?
 
Back
Top Bottom