yesu

  1. Kwa Tabia zangu Zilivyo. Ningeambiwa nichague kuwa Yesu Masihi Au Mtume Muhamad leo hii

    Wala nisingepepesa macho. Ningechagua kuwa Mtume Muhamad. Tabia zangu na zake zinaendana sana. Napenda sana maisha ambayo aliishi kutokana na tabia zangu. Maisha ya Yesu Masihi yalikuwa magumu sana na ya kubore. Hayakuwa na chereko chereko, hakuwa aki enjoy life. Mimi ningeamua kuishi kama...
  2. R

    Jina la Yesu wanalotumia wahubiri wengi si jina la Yesu wa kweli

    Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu...
  3. Mjue mjusi "yesu"; Basilisk

    Basilisk ( Basiliscus basiliscus ) ni aina ya mijusi katika familia Corytophanidae. Spishi hiyo hupatikana Amerika ya Kati na Amerika Kusini, ambapo hupatikana karibu na mito na vijito katika misitu ya mvua. Pia inajulikana kama mjusi "Jesus Christ", Jesus lizard, lizard Jesus wa Amerika...
  4. V

    Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

    Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo Tofauti hapo ni nini ? Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo. Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile...
  5. Nani alimwelewa Yesu kwenye hili fumbo?

    Mathayo 9:16 [16]Hakuna mtu atiaye kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu; maana kile kilichotiwa huondoa kipande cha lile vazi, na pale palipotatuka huzidi.
  6. Theological view: Yesu na Maria Magdelena

    Yesu na Maria Magdalena Watu wengi wanajua hadithi ya Yesu wa Nazareti kutoka kwa Biblia ya Kikristo. Alizaliwa huko Bethlehemu, mwana wa Mariamu, ambaye alikuwa bikira na ambaye alimchukua Yesu mimba kwa njia isiyo ya kawaida. Alilelewa na Maria na mumewe Joseph, ambaye alikuwa seremala. Kama...
  7. R

    Asante Bwana Yesu, angalau hili la kuuza bandari hata wajinga wa Tanganyika wamelielewa

    Ameuza bandari za watanganyika, angalau hili hata wajinga wamelielewa. nasema hata wajinga wa tanganyika hili wamelielewa
  8. Tujifunze kwa Yusufu Baba wa Yesu

    Kama YUSUFU alimlea YESU, Nawashauri wanaume muache kuhangaika na DNA. Tulieni tu, maana huwa NI mipango ya Mungu. Na huwezi kujua huyo unayemlea Leo kesho atakuja kukusaidia kwa kiasi gani. Hata wewe unayekataa kumlea mtoto wa mwanamke uliyemkuta NAE hii inakuhusu. NIKO PALE NIMEKAA...
  9. R

    Maisha ya ujana wa Yesu kwenye Kitabu cha Urantia

    Habari wakuu. Biblia iko kimya kuhusu maisha ya Yesu Kristo tangu akiwa na miaka 12 mpaka alipoanza utume wake akiwa na miaka 30. Naomba tusome simulizi za maisha yake kwenye kitabu cha BOOK OF URANTIA, wakati mwingine huitwa pia THE URANTIA PAPPERS halafu tujadili humu yaliyomo kwenye Ile...
  10. Movies za Yesu

    Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ? Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na...
  11. Hakuna kabisa dawa ya makosa yakututakasa ila damu yake Yesu

    Anayeijua hii tenzi anisaidie kwa kuipata na kama ana link ya audio anisaidie
  12. Leo nimeokoka na kumkabidhi Yesu maisha yangu

    Habarini ndugu zangu, Leo bila kushurutishwa na mtu yoyote nimeenda kuombewa Sala Ya Toba kanisani Tabata Segerea. Baada ya kuhangaika na maisha ya Ujana nikaona ni vyema kumpokea Bwana Yesu na kumtumikia kabla hazijaja siku zilizo mbaya. Ndugu zangu walokole naombeni mniombee safari yangu ya...
  13. S

    Historia ya Yesu siyo halisi ilibuniwa na watu tofauti tofauti

    Story ya Yesu Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi...
  14. J

    Je, ulipata kujua mwaka ambao Ulimwengu ulimjua rasmi Yesu kuwa ndiye Masihi aliyetabiriwa?

    Ukisoma Luka 3:1 inatambulisha kuwa katika mwaka wa 15 wa Roman Emperor Tiberius Caesar (Kaisari Tiberius). Halafu ukienda chini kwenye hiyo Sura ya 3 unakuta masimulizi ya Yesu Kubatizwa katika Mto Yordan na Yohana. Na kwakweli, kwakuwa Wayahudi walikuwa wakiujua unabii mwingine wa Daniel...
  15. Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge

    Historia fupi ya Mchungaji Paul Nthenge ambaye aliwaanisha Waumini kufunga bila kula kwa siku kadhaa ili kumuona Yesu. Huyu ni Paul McKenzie Nthenge wakati kanisa lake la Good News International huko Malindi lilipoimarika miaka michache iliyopita. Hakuwa mtu aliyechanganyikiwa, kama...
  16. Lijue Baraza la Sanhedrin lililotengeneza mashitaka ya kumuua Yesu

    LIJUE BARAZA LA SANHEDRIN LILILOTENGENEZA MASHITAKA YA KUMUUA YESU Wote waliokuwepo katika Baraza wakasimama, wakampeleka Yesu kwa Pilato. 2 Wakafungua mashtaka yao kwa kusema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu. Yeye anawaambia watu wasi lipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni...
  17. Hivi ni kweli Picha ya Yesu ni mzungu halafu picha ya Shetani ni mtu mweusi?

    Yesu ni mfano wa wema na upendo na Mambo mazuri Hilo liko upande wa watu weupe (wazungu) Shetani ni mfano wa dhambi, roho mbaya na mabaya yote yapo upande wa mtu mweusi (Africa) White people (wazungu) wanatuchklia katika upande wa shetani mtu mweusi (Africa) ni kiumbe chenye roho mbaya...
  18. Upi Ukweli juu ya kifo cha Yesu?

    Hivi Yesu alikufa? ni kweli? kwasababu gani? Doc hii inasambaa kwenye magroup,jamaa anaongea magubiri mazuri
  19. Unaifahamu siki(Vinegar) aliyonywesha Yesu?

    Siki ni nini? Siki hutokana na pombe. Ili kutengeneza pombe fangasi hubadili sukari(Glucose) kuwa pombe(Ethanol). Sasa kuna bakteria wanaweza kuibadili hiyo ethanol kuwa asidi(Acetic acid), na hiyo ndiyo siki. Kiasili siki inatoka kwenye pombe. Kwa wakazi wa nyanda za juu kusini watakuwa...
  20. S

    Leo nafufuka na Yesu Kristo. Naomba msamaha kwa wote niliowakosea humu JF, nami nimewasamehe.

    Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku. Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu. Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…