Kwa Tabia zangu Zilivyo. Ningeambiwa nichague kuwa Yesu Masihi Au Mtume Muhamad leo hii

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Wala nisingepepesa macho. Ningechagua kuwa Mtume Muhamad. Tabia zangu na zake zinaendana sana. Napenda sana maisha ambayo aliishi kutokana na tabia zangu.

Maisha ya Yesu Masihi yalikuwa magumu sana na ya kubore. Hayakuwa na chereko chereko, hakuwa aki enjoy life.

Mimi ningeamua kuishi kama Muhamad nikiwaza mke wake wa kwanza na wale wengine na maisha yake. Alikuwa ana enjoy sana life. Na maokoto ya kutosha. Na alikuwa mtu anbaye ukiingia kwenye 18 zake anakuchakaza vibaya. Alifanikiwa sana hata kiuchumi kwa kuhakikisha watu maboya wanaachia walichokuwa nacho.

Nimeongea kwa ujumla ukitaka aya nitazileta tu. Ndo maana naona Ukristo ni Mgumu kuliko Uislamu ambao upo simple sana tena mimi ngechagua kuishi kabisa kama Muhamad kwa kuendana na tabia zangu.

NAWASILISHA.
 
kuna tofauti kati ya Mungu na mtu wa kawaida.

katika dunia hii binaadam ambaye hakufanana tabia na mienendo na binaadam wengine ni Yesu peke yake.

ni kosa kubwa sana kumtaja Yesu na kiumbe mwingine yeyote.
 
Hakuna maisha ya dini rahisi uwe Muislamu au Mkristo halisi ni kujitenga na maisha ya ulimwengu huu,ambao ni wachache wamemudu wengi wapo vuguvugu
hakuna dini rahisi kama uislam,ndio sababu wengi wanabadili kwenda dini hii maana inaendana na hulka zao za kimwili.

unaoa mpaka wake 4 ukitaka tu,na akikuzingua mmoja unapiga chini unachukua mwingine.

unafunga mchana usiku kula uwezavyo.

mtu akikuzingua samehe,ukiona jau lipa kisasi.
 
Wala nisingepepesa macho. Ningechagua kuwa Mtume Muhamad. Tabia zangu na zake zinaendana sana. Napenda sana maisha ambayo aliishi kutokana na tabia zangu.

Maisha ya Yesu Masihi yalikuwa magumu sana na ya kubore. Hayakuwa na chereko chereko, hakuwa aki enjoy life.

Mimi ningeamua kuishi kama Muhamad nikiwaza mke wake wa kwanza na wale wengine na maisha yake. Alikuwa ana enjoy sana life. Na maokoto ya kutosha. Na alikuwa mtu anbaye ukiingia kwenye 18 zake anakuchakaza vibaya. Alifanikiwa sana hata kiuchumi kwa kuhakikisha watu maboya wanaachia walichokuwa nacho.

Nimeongea kwa ujumla ukitaka aya nitazileta tu. Ndo maana naona Ukristo ni Mgumu kuliko Uislamu ambao upo simple sana tena mimi ngechagua kuishi kabisa kama Muhamad kwa kuendana na tabia zangu.

NAWASILISHA.
Unachagua kuishi kama wazaramo au watumbatu wa Zanzibar na sio kama akina Mangi wa K’Njaro sio eeh?!
 
Unachagua kuishi kama mabedui wa Libya na sio kama akina Ferguson wa Uingereza sio?
 
TUmeamrishwa kusamehe tofauti ba wakristo ambao huwa hawajui kusamehe ndio maana mauaji na vitu vya ajabu ajabu ni kwenye mikoa ya wakristo wengi huwezi kusikia mtu kamuua mwenzie sehemu kama tanga , kila siku ni mbeya , mara kwasababu watu hawamjui mungu wamejawa na visasi ndio dini yao ilivyowafundisha
hakuna dini rahisi kama uislam,ndio sababu wengi wanabadili kwenda dini hii maana inaendana na hulka zao za kimwili.

unaoa mpaka wake 4 ukitaka tu,na akikuzingua mmoja unapiga chini unachukua mwingine.

unafunga mchana usiku kula uwezavyo.

mtu akikuzingua samehe,ukiona jau lipa kisasi.tumea
 
TUmeamrishwa kusamehe tofauti ba wakristo ambao huwa hawajui kusamehe ndio maana mauaji na vitu vya ajabu ajabu ni kwenye mikoa ya wakristo wengi huwezi kusikia mtu kamuua mwenzie sehemu kama tanga , kila siku ni mbeya , mara kwasababu watu hawamjui mungu wamejawa na visasi ndio dini yao ilivyowafundisha
mmefundisha kusamehe nyie mnaoroga hata vibaka wa bulb misikitini

ikiisha swala la asubuhi linafata tangazo aliyeiba bulb arejeshee.
 
YESU hakuja Duniani ku-enjoy maisha, yesu alikuja Duniani kwa Mission maalumu ya kuokoa wenye dhambi na kuwaonyesha njia sahihi.

Na hakuna mtu anayeweza kuishi maisha aliyoishi YESU, kwa hiyo kujilinganisha maisha yako unayotaka kuishi na ya YESU ni kitu ambacho akiwezekani. YESU ni mwana wa Mungu, wewe ni Binadamu wa kawaida. Jina lake tu Mapepo yanatoka.

Hili hoja yako iwe na mantiki bora ujilinganishe na Mohamed. Kwa sababu nyie wote ni binadamu.
 
TUmeamrishwa kusamehe tofauti ba wakristo ambao huwa hawajui kusamehe ndio maana mauaji na vitu vya ajabu ajabu ni kwenye mikoa ya wakristo wengi huwezi kusikia mtu kamuua mwenzie sehemu kama tanga , kila siku ni mbeya , mara kwasababu watu hawamjui mungu wamejawa na visasi ndio dini yao ilivyowafundisha
Ofisaa mkoa kuwa na wakristo wengi haimaanishi kubwa matukio yaliyotendwa humo yalitendwa na wakristo. Mikoa hii unayosema ya wakristo ina Wapagani (Waganga, wachawi, na watu wasiomuamini Mungu) wa kutosha na waislamu wa kutosha. Kwa hiyo hayo matukio ukitizama mara nyingi wanaoyatenda hayo matukio sio wakristo halisi.

Mkoani kwanza kuna jamaa alimpiga Mke wake Risasi, jamaa anaitwa Said. Said nae ni mkristo?

Mkoani mwanza pia kuna jamaa mwingine naye anaitwa Said alimchoma kisu mwanamke wakiwa guest kisa tu huyo mwanamke alikataa kuolewa nae. Huyo jamaa naye ni mkristo?

Ebu nitajie matukio ya kikatili yaliyofanywa na mkristo wa kweli, na mimi nikutajie watu waliochinjwa uarabuni kisa uislamu na matukio ya kujitoa mhanga ya waislamu
 
TUmeamrishwa kusamehe tofauti ba wakristo ambao huwa hawajui kusamehe ndio maana mauaji na vitu vya ajabu ajabu ni kwenye mikoa ya wakristo wengi huwezi kusikia mtu kamuua mwenzie sehemu kama tanga , kila siku ni mbeya , mara kwasababu watu hawamjui mungu wamejawa na visasi ndio dini yao ilivyowafundisha
Watu wa pwani wanaishi kijamaa sana.Walio waislamu wengi wao ni waislamu jina,na walio wakristo wengi wao ni wakristo jina.Hawajaathiriwa na dini,ujamaa ndo umewaathiri.Chunguza tu;pwani ndo wameingiliana sana kwenye kuoana.Mkristo kuoana na muislam ni kitu cha kawaida sana.Mtu kuacha dini yake kwa kufuata ndoa sio shida,au kuoana wenye kisha kila mmoja kurudi kwenye dini yake ndiyo maisha.Lkn uislam au ukristo wa kweli hautaki hivyo.Ujamaa wa pwani unatoka kwako na tonge la ugali,unaenda kutoeza kwa jirani.Unapika mboga chumvi unaenda kuomba kwa jirani.Bafuni kwako kuna mtu,unaenda kuogea kwenye bafu la jirani.Kwa ujamaa huu unadhani kutakuwa na kuchinjana kwa ajili ya imani?Na ndiyo maana waislamu wa nje wanawashangaa sana waislawa Tanzania!Muislam na Mkristo wanapika na kupakua pamoja bila shida!Wakianza kulumbana kwa dini zao wanalumbana ila kwa hoja.Baada ya hapo wanagonga tano safari kwenye mpira.Bara hakuna ujamaa wa namna hiyo
 
Naunga mkono hoja,ukristo ni mzuri ila hapo kwenye ishu ya mke mmoja ,mkeka wangu unachanika
 
Back
Top Bottom