yesu

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

    Kama huyu Yesu Kristo ambaye tunamsheherekea Kesho ( Krismasi ) alizaliwa Kimasikini Zizini ( Kraal ) ila bado akakubali Kufa kwa ajili yetu, anatuombea 24/7 na ni Mnyenyekevu asiye na Majivuno pia ni kwanini Sisi Wakristo akina GENTAMYCINE tumekuwa ni Watu wa Viburi, Jeuri, Nyodo, Maringo...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  3. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

    TCRA naomba muone ===== UPDATES: ====== Wasafi FM waomba radhi kutokana na hii Video inayosambaa mitandaoni. Zaidi, soma: Thread 'Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye pesa, msituite matapeli"' Wasafi FM waomba radhi kwa habari yao ya "Hata Yesu alifuata wenye...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ujio wa pili wa Yesu na Alliens invasion

    Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu. Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na jeshi la Mungu si kwa sababu ni waovu bali kwa sababu watafikiri kuwa ujio wa pili ni uvamizi wa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama mke wa Pilato alikosa amani kiasi cha kumsihi mumewe asimuhukumu Yesu asie na hatia,iweje wanadamu wa leo hata nafsi haziwasuti?

    Hata Pilatio mwenyewe hakuona kosa la Yesu ila alitimiza matakwa ya waliotaka Yesu asulubiwe na akanawa mikono akasema na dhambi hiyo iwe juu yao(mstari wa 24). Kuhusu Mke wa Pilato, soma mstari wa 19 katika haya maandiko. Kisa kizima hiki hapa: 11 Yesu akapelekwa mbele ya gavana naye...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Asante Bwana Yesu, malimao, ndimu na pilipili kichaa zangu haziibiwi tena

    Nilishuhudia enzi za kujifukiza na kula malimao, ndimu na pilipili kichaa wizi mkubwa shambani kwangu wa mazao hayo. Tangu Mwendazake aondoke, sasa kila kitu hakina soko /soko limekuwa kama limeisha/limepungua baada ya advocate wa tiba hiyo kuondoka. Asante Bwana Yesu siibiwi tena
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watanzania mmerogwa na nani? Badala ya kujadili hoja za Kamati ya Maadili ya Bunge nyie mnamjadili Spika Ndugai na Yesu

    Kiukweli Watanzania kama taifa bado tuna safari ndefu sana kufika kule tunakotarajia kufika. Jana mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Bunge mh Mwakasuka na wajumbe wa kamati wametumia takribani saa 3 kuelezea utovu wa nidhamu uliofanywa na wabunge Jerry Silaa na Askofu Gwajima. Kwa bahati mbaya...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aomba radhi Wakristo kwa kauli yake kuhusu Yesu

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaomba radhi wakristu kwa kauli aliyotoa leo bungeni alipokuwa akielezea alivyotembelea Israel Katika maelezo yake alisema "Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareti kwenda Yerusalemu kuhesabiwa" ambapo amesema alimaanisha Yusufu alitembea na mke wake sio Yesu kama...
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

    Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI Duuuh 😥😥😥😥 Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge itakayomuhoji Gwajima ijiandae kukutana na majibu yatakayowaacha wakiangaliana

    Kwa msomaji wa Biblia au mtu yoyote aliesikia habari za Yesu, bila shaka atakuwa amesikia habari au visa vya Yesu kutoa majibu kwa wafuasi wake, majibu yaliyokuwa yakiwafanya watu kubaki wanashangaana kama sio kutawanyika au kubaki midomo wazi na wakati mwingine kujiona wajinga. Rejea kisa cha...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Mwamposa

    Nipo kwa sebule naangalia TV, siamini ninachokiona mchumba wangu anaombewa na mwamposa apate mchumba, sielewi jamani au Mimi simfai, yaani nimechoka hadi akili, sijui nikamuulize kwanini kaenda kuombewa wakati mimi ameshanipata, sielewi FROM FACEBOOK 😁
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yesu alikula na kunywa na walevi, Je, Rais Samia anatumia Falsafa hii?

    YESU ALIKUNYWA NA KULA NA WALEVI NA WAHUNI; JE Rais SAMIA ANATUMIA FALSAFA HII? Kwa Mkono wa Robert Heriel. Nikiuangalia utawala wa Mama Samia Suluhu ninajikuta nikikumbuka Kisa cha Yesu wa Nazareth. Yesu wa Nazareth moja ya falsafa yake ni kuchangamana na Wale wanaotofautiana naye kiitikadi...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania TB Joshua hakuwahi kubatizwa wala kumpokea Yesu! Nimeshangaa sana

    Nimekuwa nikifuatilia kifo cha gwiji huyu wa gospo tangu kilipotokea. Jana nilishangaa hoja ambazo Jumuia ya makanisa ya kikristo ya Nigeria na Jumuia ya makanisa ya kipentekoste kumkataa kabisa TB Joshua kama Mkristo mwenzao. Alipoulizwa sababu ya kumkataa, mwenyekiti mmoja wa jumuia hiyo...
  16. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mwaka mpya wa 2007 tulimkabidhi Yesu kila kitu na maombi yetu kujibiwa ipasavyo

    Yeereeeeeh! Wadau mnaendeleaje! Huyu mwamba mchungaji ni wa kipekee. Kanisa lake simple tu la mabati huko Meru milimani enzi hizo. Kuukaribisha mwaka mpya 2007 mwamba alitupanga nakutuambia shida zote mtaziacha nyuma 2006 na mwaka wa 2007 nawaakikishia njia zenu zote Yesu atazifagia...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mchafu: Wanaume Tanzania wanajadili zaidi Simba na Yanga kuliko afya zao

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Hawa Mchafu amedai baadhi ya wanaume wa Tanzania wanatumia nguvu kubwa kujadili habari za timu za Simba na Yanga zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, kuliko hata kujadili afya zao. Hawa amesema kama nguvu hiyo ingetumika kujadili masuala ya afya ikiwemo kupima...
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji Dodoma: Bwana asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Asalam Aleikum za nini?

    Kuna matangazo mbashara kupitia TBC1. Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020. Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima wapo hapa Nafuatilia. Tatizo: wengi wanaosimama salamu ni Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Asalam...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbatia: Nampongeza Rais Samia kwa ubunifu, salamu za Asalam Aleykum, Bwana Yesu asifiwe na Mwanakondoo zililigawa Taifa

    Mwenyekiti wa Nccr mageuzi amempongeza Rais Samia kwa kubuni salamu mpya ya taifa ya " Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania " Mbatia amesema salamu za kidini za asalam aleykum Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo na Mwanakondoo ameshinda tumfuate zilikuwa zinaligawa taifa...
  20. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania PARIS JACKSON: Mtoto wa MICHAEL JACKSON kwenye FILAMU yake ya YESU wa Kike

    Wasaalam wakuu Hivi tunakwenda wapi na DUNIA yetu Mwaka uliopita kulizuka habari juu Paris Jackson, binti wa Fundi wa pop marehemu Michael Jackson, anahusika katika filmu mpya ambayo yeye atacheza kama ,Yesu Kristo kama mwanamke msagaji katika filamu hiyo mpya ya Habit Habit, pia itachezwa...
Back
Top Bottom