yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hodi hodi mimi ni mgeni ninaomba munikaribishe humu jukwaani.

    Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
  2. JamiiForums Tanzania Kuajiriwa ni utumwa; mlio nje ya Ajira Rasmi kazeni Buti. Wenzangu jobless nafasi yenu kwa busara yangu ukajiajiri, utakuja kunishukuru

    Jiajiri utaepukana na mateso manyanyaso na kuabudia binadamu asiye na shukran. Marais na viongozi wetu wanafanyakazi ya ziada Sana. Katika utendaji kazi Kuna Mambo mengi yamefichikamana. Hutaona mapema. Jiajiri na hakikisha unaongeza ujuzi mara Kwa mara kw kile unachoamini utatusua. Hata kama...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumuombea huyu ndugu yangu nafasi ya kuwa kocha wa Simba?

    Wanajukwaa kuna ndugu yangu huku kijijini ni shabiki mkubwa wa club ya Simba sports club toka miaka ya 1990's kwa sasa anajihusisha na kukochi team ya kijiji na kaifikisha mbali sana Sasa baada ya kuona nafasi ya kocha mkuu wa team ya Simba ikiwa wazi amekuwa akinisumbua mara kwa mara kwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania RC Kafulila: TAKUKURU chunguzeni mkataba wa ujenzi wa ofisini yangu

    Huyu RC binafsi anaukonga moyo wangu kwa namna anavyodhibiti mapato na matumizi ya fedha za Umma, Mkoani kwake. Hebu Msikilize mpaka mwisho hapa.
  5. JamiiForums Tanzania Hii Vita isiyo rasmi na ya chini chini yenye Mafumbo mengi baina ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania na Mtume Mwamposa naiona peke yangu au?

    Sasa ni mwendo wa Mafumbo na Kukomoana tu.. Baadhi ya Maaskofu wa Katoliki.. "Wakatoliki mnaokwenda kwa Mwamposa ni Wendawazimu na tutaanza Kuwatenga Kanisani Kwetu kwani hatupendi Waumini wanaotangatanga wakati katika Ukatoliki kuna kila Kitu" Mtume Mwamposa wa Kanisa lisilo na Jina na...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu nimemtafutia kazi mshahara laki 3, anaikwepa, nimefowadiwa meseji zake anadai ninamnyanyasa. Nifanye nini?

    Kamaliza chuo mwaka juzi ila hadi sasa hana shughuli, alikuja hapa mjini pasaka mwaka jana ila nikamwambia abaki baki ajiskie huru hasa ukizingatia nyumbani kwangu kuna vyumba vya nje kwa hio haikuwa taabu kumuhifadhi. Sina ubaya wala hila, mimi kila wiki huwa nampa 50 kwajili ya matumizi...
  7. JamiiForums Tanzania Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

    Ndo kama hivyo, halafu nikiangalia maendeleo niliyonayo daah. Inabidi niwe serious na nirudi kwa muumba wangu ndo nilivyoamua hivyo, ili mwaka ujao tarehe kama ya leo panapo majaliwa niwe mahali fulani penye afadhali. Asanteni.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

    Sasa najiuliza nyinyi wa mjini mnaopokea mshahara ngazi hii mnawezaje na maisha yalivyo sasahivi?
  9. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Elimu ilivyokuwa ngumu na kupata Zero mara tatu katika mtihani wa Kidato cha Nne

    Safari yangu ya Elimu ya Secondary niliianza Mwaka 2011 katika Shule moja Maarufu pale Bukoba Mjini ikiitwa Lake View hakika Maisha ya pale yalikuwa mazuri tulisoma na wahindi huku shule hipo beach yaani kila kitu nilikuwa Safi, hasa ukizingatia nilisoma shule za kawaida katika Elimu ya msingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu wa Kidato cha Nne anatafuta kazi

    Habari wakuu! Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata. Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta Mchungaji Fracis Ndacha wa SDA nimpe sadaka yangu

    NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
  12. JamiiForums Tanzania Ni nini dawa ya mchwa? Wanamaliza mikaratusi yangu

    Mada tajwa hapo juu Wakuu mwenye ujuzi hapo au uzoefu wa dawa nzuri ya hawa wadudu anisaidie. Wananipa kipigo kitakatifu mno
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Binti yangu amepangiwa Chuo na huku alishaanza masomo ya Pre-Form 5

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private Kule...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

    Wadau natumaini mko njema kabisa. Heri ya Jumapili kwenu nyote. Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake. Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za kutafutiza sana kwakua siku zote Jumapili kuanzia saa mbil asubuh mpaka saa Nane mchana huu muda...
  15. JamiiForums Tanzania Mimi naomba Ushauri Bibi Yangu yupo na watoto 09 wote are Mutured hila wanashindwa kumlipia bill zake zote.

    Wakuu hiko hivi I have a Grandmother Called Bibi Haya Kufupisha story siku ya Eaid Nilipewa taarifa kutoka Bukoba kwamba Bibi Hana Mboga ya Eid so niliombwa kutuma pesa kias Flani hivi kukamilisha Mlo mujarabu wa Eid. Kiufupi nilimtafta Jamaa yangu mmoja yupo kijijini mahali anapokaa my Bibi...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu anamwambia mke wangu kuwa sisi tunalala tu hatufanyi mapenzi

    Huyu ndugu yangu amekuja kwangu kunitembelea, lakini kutwa ni kumzonga mke wangu. Hata mimi hana story zaidi ya kumuongelea mke wangu. Leo mke wangu ameniambia nikiwa sipo anamwambia eti muda wote sisi ni kula hatufanyi mapenzi. Anajaribu kumweleza yeye anavyomshughulikia mke wake muda wote...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Imani yangu naamini kila mwezi kuna mtu kutoka Kundi la waloitwa WASIOJULIKANA anaaga Dunia

    Wasiojulikana walifanya ukatili mkubwa sana juu ya binadamu; ghafla mtandao wao ukakosa wakuwaunga mkono na may be hata ahadi walizopewa zikayeyuka. Mwenyenzi Mungu aliumba mwanadamu lakini akumkabidhi mwanadamu Haki na mamlaka ya kuuwa wengine. Mamlaka ya kisiasa iliyokosa baraka za Mungu...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu nikitoa power cable inazima

    Habarini guys, nina pc yangu ambayo nikichomoa tu power cable inazima tatizo ni nini? Msaada tafadhali.
  19. JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhari kuna mtu amehack account yangu

    Wakuu Habari za jioni Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7 Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa Ila Leo jioni hii nimepata jumbe kadhaa kutoka Google nitaziupload soon na pia after kupata hizo jumbe siwez tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…