Msaada.simu yangu haiplay video hadimwisho.

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,401
Reaction score
29,055
Yaani cm yangu kama kuna video ina play nusu inastaki haiendelei tena labda nianze tena upya ikiplay ikafika kipande kile kile inasimama tena.

Na sio video hiyo hivyo tuu ni kila video nitakayo play.kwa mfano kama instagram ndo kabisaa niifurahii kabisa inafunguka kidogo tuu ikishatulia ndio imegoma labda nisogeze video nyingine na hiyo bido nayo ni hivyo hivyo.je!ni shida ya cm yangu au ni mtandao?
 
Restart simu au jaribu kutumia vpn
 
Aina ya simu tafadhali....!
 
Storage imejaa au tatizo na video player(uninstall na install upya)
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Bila shaka ni Infinix. Kipindi hicho naitumia nilipata shida hiyo
 
Nenda kwenye phone manager then clean up space kisha Fanya ku_clean up data storage.
 
Back
Top Bottom