yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

    Wanajukwaaa wazima nyie? Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro. Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada accout yangu ya facebook imefungiwa

    Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
  3. JamiiForums Tanzania Gari yangu ya kwanza nimenunua, Nissan Dualis

    Habari wana JF, Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana. Naombeni msaada jinsi ya kuitunza hii gari angalau idumu napokea maoni na ushauri jamani, gari nimeipokea...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Napata shida sana kuipenda nchi yangu kwasababu ya "ujinga" wa wanaccm

    Hii miccm imevunja morali ya watanzania kuipenda nchi yao kwasabb ya uongozi mbovu na usio na dira wala mwelekeo. Kila zama na awamu wamekuwa wakija na ahadi za kijanjajanja na ulaghai za kuboresha huduma za watanzania. Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi wamekuwa wakifanya hujuma kwa ama kuiba...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu. Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kwa Muungano

    Mfano leo Wales 🏴󠁧󠁢󠁷󠁬󠁳󠁿 na England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 wameimba nyimbo zao za Taifa japo wapo kwenye muungano wa 'United Kingdom🇬🇧'. Mapendekezo yangu hapa nyumbani Tanzania 🇹🇿 tufanye hivo pia kwa Tanganyika na Zanzibar, hii itaonesha uhalisia na chimbuko la kila mmoja chini ya kivuli cha Muungano...
  8. JamiiForums Tanzania Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

    Siyo kwa ubaya ndugu zangu, misumari ni mingi sana, ukiweka japo kabiashara kako sehemu ili kakusaidie wewe na familia yako ikianza tu kuchanua kuna viherere wanajifanya kuizima. Sasa nikasema dawa na mimi ni kutembea, simlogi mtu ila naweka mambo sawa, nailinda biashara yangu. Kwani kuna ubaya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu yaliharibika kwasababu ya yule

    Nilikuwa na kipato Cha kawaida, Ila yule akaharibu kabisa mipango ya maisha yangu. Kwa vile nipo hai naendelea kupambana
  10. JamiiForums Tanzania RC Makala: Kufuatia kuongezeka kwa maji Mto Ruvu, Dar hakuna tena mgao wa maji

    RC MAKALA: HAKUNA TENA MGAO WA MAJI DAR Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amosi Makala amesema kuwa mgao wa maji uliokuwa unaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani hautakwepo tena kufuatia kuongezeka kwa maji kwenye chanzo cha Mto Ruvu ikiwa ni matokeo ya mvua zinazoendelea kunyesha kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Mama, I'm here to support you, to serve our country. I'm here sio tu kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu, bali pia kuutumia. But...

    Wanabodi, Kabla sijaanza bandiko hili, naomba kutoa angalizo hili Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! Leo kuna maneno mazito sana rais wetu Mama Samia, kayaongea, kwa hisani ya Mkuu Chachu Ombara, msikilize kwa makini mama. Kwa sisi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kumtumbua Tito Mwinuka

    Kwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako. Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa zaidi ya 20% utaambiwa na wawekezaji kuwa gharama za uzalishaji kwa mwezi huu zilikuwa juu kutokana na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais kukukumbusha maono yangu ya kulifanyia kazi eneo la Jangwani. Vizazi vitakuingiza katika kundi la mashujaa moja kwa moja

    Hili ono haliishi kunijia, nami, kwa upendo mkuu, nakufikishia Rais wangu mpendwa. Tafadhali fanya kitu pale jangwani; ondoa mateso ya mafuriko kila mwaka tangu tupate uhuru na badala yake ligeuze liwe eneo la kufurahi na kiuchumi, yaani 'kijiutalii' fulani hivi. Mama uwezo (fedha au mbinu za...
  15. JamiiForums Tanzania CCM yangu Tujitafakari juu ya Rushwa

    Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu! Acheni kutumia Rushwa kupitisha wagombea maana haina afya Kwa Taifa maana CCM ndo Chama tawala...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Wakuu Uswazi uswahilini , ngoja nishee story yangu na experience ya kuishi uswahilini ,Ntasimulia jinsi nilivyo koswa koswa na Ukimwi, jinsi nilivyo kwepa kuzama ktk utumiaji wa madawa, jinsi nilivyo escape kuwa panya road, Nilivyo escape kula mashoga, nilivyoishi na matapeli na kujifunza...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa huu ujumbe na kichekesho- leo nayo ni siku- siku yangu imeisha

  18. JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Hayati Magufuli alikuwa rafiki yangu binafsi

    Siku moja nipo Mikocheni nikapigiwa simu na mtu mmoja anaongea kigogo, akaniambia sogea pembeni hapo kuna kelele, akaniuliza unajua unaongea na nani, nikasema mpaka hapa nishaelewa wewe ni Rais Magufuli, akaniambia uko wapi nikamwambia Mikocheni akasema kaa hapo hapo namwagiza mtu aje...
  19. JamiiForums Tanzania ANASEMA: Kesho 'Birthday' yangu 'nipost' basi

    Katika hali isiyo ya kawaida, nimejikuta nina maswali mengi sana ambayo nakosa majibu mpaka dakika hii na kila ninayemuadithia anabakia kucheka tu. Leo jioni nikiwa natazama mpira huku nachezea simu yangu, mara ukaingia ujumbe wa WhatsApp, kutazama namba ngeni (sijaihifadhi). kufungua nitazame...
  20. JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…