Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Wakuu hii imekaa vipi jana nilipata pisi moja ya kanda ziwa ina mguu mnene balaa na tako zito, nikaikaribisha kwangu ikaoga vizuri, mara hooo mwizukulu mgikuru ninaomba nguo yako nivae hii yangu imelowa..ikabidi nimpe kishingo upande, usiku umepita vizuri tu , asubuhi anakomaa kuondoka amevaa...
Nipo Mbeya kikazi hapa naishi karibu na mbuga ya mabinti wa vyuo takribani vitano huku maeneo ya forest.
Ukitaka mwendo tia gia havijileti, kidume nimejikoki kwa pisi kali ya chuo lakini mziki naopitia siyo poa.
Nilitaka nipige na kusepa lakini wahenga walisema ukionja asali huwezi kutosheka...
Ee bwana ee!
Juzi kati katika hali ya kupita pita hivi niko na mchizi wangu, si tukajikuta tumetulia eneo flani tunapiga stori na mrembo flani wa kishua huku tukimwagilia moyo.
Nikawa najipigia zangu stori tu kiaina, mara pap! Mchizi kaniita pembeni kanipiga na kitu cha "Huyu sista anakufeel...
Paka Saba (7) wamekufa kwa kitabu tu, halafu kuna mahala nimeona refa wa mchezo naye kashika filimbi na anaipa dole la furaha na kicheko Klabu ya Al Hilal.
Ewe Mungu saidia Al Hilal ishinde!
Amemaliza chuo si miaka mingi sana, hajabahatika kuajiriwa bado.
Mungu alimuona na kumjaalia ajira ya muda mfupi ya sensa iliyofanyika hivi punde, si haba, kamilioni hivi alikashika na kwa hakika ilikuwa pesa nyingi sana kwake kwani alikuwa hajawahi kufanya dili lolote la kufikia kiwango hicho...
Nina rafiki yangu wa muda mrefu tu na wala hatujawahi kuwa na tatizo, isipokuwa tu akivua viatu yaani chumba huwa kinajaa harufu kali. Ila yeye wala haonagi noma!
Nitawezaje kumjuza bila kumkwaza?
Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73.
Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo.
Sababu ya mateso yote hayo eti kapita kwenye nyumba za polisi.
Sisi mambo ya shirki hatuna na hatuyajui...
Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo.
Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia...
Za usiku siku imeendaje?
Ilikuwa hivi nilikuwaga nakaa mkoani basi nikaenda kumtembelea binamu yangu nilikuwa natokea Mtwara nikanunua korosho nimpeleke zawadi nikampa nilipo fika sasa nikiwa najianda kwenda kuoga nikasia wanaongea itakuwa kanunua buku buku wana lahisisha mamb basi nikapotezea...
Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao.
Mashemeji zake nao wanamwambia shem mchukue dada yetu muanze furahia maisha. Yaani huyu mchumba kifupi pale kwao...
Aise, hii kitu ngeni kwangu, hata pasi moja!! It means walikua wanazurula uwanjani, aise siamini macho yangu kama nikweli🤣🤣 mpira umeisha kwa bao 3 kwa 0
Hongereni sana mafarao👏🏽👏🏽
Huyu jamaa zamani alikuwa serious mtu kazi. Mnapeana kazi kila mtu anamaliza kwa wakati mnafanya majumuisho mnasonga mbele.
Hapa katikati amebadilika sana.mnaweza peana majukumu nyie mkamaliza yeye mkakuta anasua sua na kuwakwamisha sometimes. Ukimpigia anasema yupo busy sana mara sijui nini...
Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂
Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume nakata mara paap mtoto akapokea, hello naitwa mary unaitwa nani na unapiga simu kutoka wapi?
Nikamjibu...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana ambaye ninatamani na ninapambana sana kuwa mjasiriamali upande wa mtandaoni (online au e-entrepreneur).
Miaka kadhaa iliyopita nilipata idea ya App ya Online casino (ambayo ni tofauti na online casino zilizoeleka kwa kila kitu),ila kwasababu idea kama idea haitoshi...
kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k.
Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.