yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nifunge AC ipi kwenye nyumba yangu?

    Habari, kutokana na mada za watu tofauti wakiomba kufahamishwa kuusu aina gani ya AC wafunge nimeona nije na hii mada itakayo weza kutoa muongozo kwa yule mtu ambaye anahitaji kufunga AC kwenye ofisi au nyumba yake. Kwanza tunajua kuwa kuna aina za ac hushauliwa kufungwa maofisini na kuna zile...
  2. JamiiForums Tanzania Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

    Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60. 1. Mwalimu Julius Nyerere 2. Kwame Nkurumah 3. Kamuzu Banda 4. Kenneth Kaunda 5. Samora Machael 6. Nelson Mandela 7...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu suluhisho la kudumu la kero za Muungano uliopo

    Tunapoikumbuka Aprili 26, ya mwaka 1964, tujikite zaidi katika kuepukana au kumaliza kabisa zinazoitwa kero za Muungano kwa kufanya mojawapo ya yafuatayo: Mosi, tuwe na nchi moja na serikali moja, yaani Muungano kamili (complete union). Tuachane kabisa na Muungano huu wa kubanana, kufinyana...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Sitosahau nilipopata Gono na UTI kwa mke wa jirani yangu

    Nikiwa nimehamia kigezi kwenye kamjengo kangu, nilikuwa naishi bado single sijapata jiko ratiba yangu naondoka zangu asubuhi naingia job narudi zangu usiku na napitia Tariano pale nakunywa vibia kazaa na kula msosi narudi home. Wikend nilikuwa nashinda home kwa shughuli za usafi majirani...
  5. JamiiForums Tanzania Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

    Waovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao. Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

    Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye. Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white...
  7. JamiiForums Tanzania Dini hizi ndo zitakazotupeleka Motoni tena kilahisi fuatilia Mahojiano yangu na huyu Shekhe

    Asante Muumba wangu na watu wote muumba Arshi,Mbingu na vilivyomo. ... Karibu mpenzi Mwanajukwaa leo nimekuletea mambo baadhi yaliyokuwako na mwisho wakakopy na kuingiza kwenye utaratibu wa dini zao na kutumia majina ya wakwao pamoja na viongozi wao wakidai ni maagizo toka Kwa muumba wetu ila...
  8. JamiiForums Tanzania Historia yangu ya mapenz. Niliachwa: ogopa sana kuachwa

    Nina umri was miaka kadhaa sio teenager tena ni mtu mzima flan ila napenda chini na kwa imani yangu mambo magumu mno. Niliachwa wkt nikiwa college, niliteseka Sana, nilikuja kugundua asb kumekicha. Wanawak chuo ni wengi TU hats sielewi Kwa NN Binti wa kinyaturu akanitesa mtoto was watu...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI BASATA yafungia wimbo wa Roma Mkatoliki, "Nipeni Maua Yangu"

    Kuna taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa Nipeni Maua yangu wa Roma Mkatoliki. Je, taarifa hizi zina ukweli ndani yake?
  10. JamiiForums Tanzania Hard disk ya laptop naitumia tangu 2018, Je niendelee kuitumia au niibadili ?

    Salama wakuu Ni mwaka wa tano sasa natumia hard disk bila kuibadili, tena yaweza kuwa ni mwaka wa nane maana hata laptop ni hizi za Kariakoo refurbished zimeshatumika ulaya na marekani. Mwaka 2018 nilibadili laptop nikahamishia kila kitu kwenye hard disk ya laptop mpya yenye TB 1, hii hard...
  11. JamiiForums Tanzania Ikiwa nitasema uongo ili kuokoa maisha yangu au ya mtu mwingine , Je nitakuwa nimetenda dhambi?

    Kuna nyakati katika maisha yetu inatubidi au utokea tuseme uwongo ili kuzuia hatari mbalimbali pamoja kuokoa maisha yetu au ya watu wengine. Je kufanya hivyo ni dhambi na ni chukizo kwa mwenyezi Mungu? Mithali 6:16-17 inasema 16Kuna vitu sita ambavyo Yehova anachukia;Naam, vitu saba...
  12. JamiiForums Tanzania Nauza Blog yangu

    Blogger blog Iko mezani nauza. Bei ni Laki 2 , ukinunua nakupa na channel yake ya Telegram.Blog hii hapa . Nicheki DM
  13. JamiiForums Tanzania Nipeni maua yangu - Roma Mkatoliki

    Kuna wimbo mpya umetoka. Si mwingine ni kijana wetu, Roma Mkatoliki. Wimbo unaitwa "Nipeni Maua Yangu" humo ndani kuna madini ya kutosha. Roma Mkatoliki kama kawaida yake katoa ya moyoni yanayoendelea katika utawala huu wa awamu ya 6. Kama kawaida kanyoosha maelezo hajapindapinda. Hakika baada...
  14. JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

    "Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Ninawezaje kupata hii huduma ya malipo ya selcom kwenye biashara yangu?

    Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
  16. JamiiForums Tanzania Mama yangu kwanza

    Mama ndiye mwanamke wa kwanza kabisa anayekutana na mtoto wake tangu kuzaliwa, na hivyo kuwa na uhusiano wa kipekee na mtoto huyo. Mwanamke huyu anamlea mtoto wake kwa miaka kadhaa, akimpatia upendo, ulinzi, na kumwezesha kukua na kuwa mtu mzima. Kuna dhana potofu kwamba mke ndiye mwanamke...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Wachawi wanatumia sura yangu kwenda kurogea. Wakuu Nisaidieni

    Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga. Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua. Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
  18. JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu Suzuki Escudo

    Salaam wakuu, ~ Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road. ~ Gari ni manual transmission, Gear. ~ Fuel consumption 1400cc. ~ Engine safi. ~ Tyre ziko poa fowl. ~ Seat za watu tano. ~ Gari ni imara sana. ~ Gari ipo moshi. ~ Bei ni shilingi 4,900,000 fixed. Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele...
  19. JamiiForums Tanzania Kosa langu ni kuamua kuishi maisha yangu

    Kuna watu unaweza kuwa karibu nao lakini wasitambue umuhimu wako. Wanaweza kuwa ndugu, jamaa au marafiki. Na unapoamua kuachana nao na kuishi maisha yako,wanakuona kama umewatenga. Binafsi nimewahi kupitia changamoto za kukataliwa na watu wangu wa karibu. Kila nilipojaribu kuwa mwema kwao...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

    Habari wana JamiiForums, Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha. Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…