Hard disk ya laptop naitumia tangu 2018, Je niendelee kuitumia au niibadili ?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
1682101996602.png


Salama wakuu

Ni mwaka wa tano sasa natumia hard disk bila kuibadili, tena yaweza kuwa ni mwaka wa nane maana hata laptop ni hizi za Kariakoo refurbished zimeshatumika ulaya na marekani.

Mwaka 2018 nilibadili laptop nikahamishia kila kitu kwenye hard disk ya laptop mpya yenye TB 1, hii hard disk naitumia hadi sasa.

Niliwahi kubadili laptop mwaka 2021 nayotumia hadi sasa lakini hard disk yake niliitoa nikaiweka ile ile ya tangu 2018.

Nimeona niulize kama pana usalama wa kuendelea kuitumia maana ni mwaka wa 5 huu.
 
Salama wakuu

Mwaka 2018 niliuza laptop niliyotumia miaka mitano ilikuwa na hard disk gb 500, kabla sijaiuza nilikuwa nimeshanunua laptop nyingine yenye hard disk TB 1, nilichofanya nilihamisha vitu vyote vya hard disk ya zamani kwenda hard disk ya computer mpya.

Hadi sasa hio hard disk ya TB 1 naitumia hadi sasa kwenye laptop na ni karibia kila siku, Laptop niliwahi kubadili mwaka 2020 lakini hard disk niliweka ile ile ya tagu 2018 nayotumia mpaka sasa,

Nimeona niulize kama pana usalama wa kuendelea kuitumia maana ni mwaka wa 5 huu.
Nasubiri wajuzi
 
Amna shida kama health na perfomanc iko vzuri yani 100% we endelea kutumia mkuu

Dk iuzwe laki nne mpaka sita kama still iko vzur kuja aja gani ya kubadili kwa wale wenzetu wanao fanya biashara za movies #Bobpack
 
Wakuuu kwanza habari.
Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya masuala ya computer,anishauri laptop nzuri ya kutumia kwa budget ya 350k-450k ambayo naweza kuitumia kama Mwanafunzi wa ICT Bachelor,na specifications zake.
Mchango wako ni muhimu.Asante san
 
Andaa backup mzee mapema hasa kwa find muhimu , minilipoteza vitu hivi mkuu na inakata sana kuanza kuweka vitu upya kwenye HDD
 
Wewe unasema juzi hapo mm kuna laptop nilipewa zawadi na wazazi wangu baada ya kufaulu..... Ilikuwa 2011 mpk leo naitumia kitu imekufa ni speak na maisha yalivyo shenzi na kazi nimepata ila chaweza buy hata car kwajili ya wazazi wangu
 
Back
Top Bottom