Nauza gari yangu Suzuki Escudo

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
5,059
8,180
Salaam wakuu,

~ Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road.
~ Gari ni manual transmission, Gear.
~ Fuel consumption 1400cc.
~ Engine safi.
~ Tyre ziko poa fowl.
~ Seat za watu tano.
~ Gari ni imara sana.
~ Gari ipo moshi.
~ Bei ni shilingi 4,900,000 fixed.

Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele. Njoo na fundi wako kabisa, ya kuwasha na kuondoka.

Biashara kwa anayehitaji namba za simu +255 678 502 276

IMG-20230413-WA0001.jpg
IMG-20230413-WA0000.jpg
IMG-20230413-WA0003.jpg
IMG-20230413-WA0005.jpg
 
Salaam wakuu.

Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road.
Gari ni manual transmission....Gear.
Fuel consumption 1400cc......
Engine safi.....
Tyre ziko poa fowl.....
Seat za watu tano.....
Gari ni Imara sana.
Gari Ipo moshi.
Bei ni shilingi 4,900,000 Fixed.

Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele. Njoo na fundi wako kabisa ya kuwasha na kuondoka.

Biashara kwa anayehitaji PM iko blank.
Ulivyo sema gari liko moshi ndo nikaishiwa pumizi
 
Salaam wakuu.

Hii hapa Suzuki Escudo, Earth Road.
Gari ni manual transmission....Gear.
Fuel consumption 1400cc......
Engine safi.....
Tyre ziko poa fowl.....
Seat za watu tano.....
Gari ni Imara sana.
Gari Ipo moshi.
Bei ni shilingi 4,900,000 Fixed.

Gari ni yangu mwenyewe na haina kipengele. Njoo na fundi wako kabisa ya kuwasha na kuondoka.

Biashara kwa anayehitaji PM iko blank.
Hizi gari ni roho ya paka ila ttzo kwa sasa ivi zishapitwa na wakati

Mzee wangu alikua anayo mpk ikafanana nae yni akiwa mbali vipi utamjua tu hhhhhhhh
 
Hizi gari ni roho ya paka ila ttzo kwa sasa ivi zishapitwa na wakati

Mzee wangu alikua anayo mpk ikafanana nae yni akiwa mbali vipi utamjua tu hhhhhhhh
😁😁😁 gari roho ya paka hii, kuhusu kupitwa na wakati ni wewe tu kuifanyia modification mbona gari kali sana.

Unanunulia spare tyre la nyuma.
Una adjust seats.
Unaweka spot light kali.
Unapimp rim kali.
Staff carrier ukitaka.
Rangi mkono mmoja.
Roof ya ndani kali.
Dashboard mpya unaweka
Full A.c na
sound system ya maana na uzamani kwisha habari yake buashe 😆😆😆😆
 
Ningekuwa na mzigo ningeichukua hii,nazikibali kwa ugumu tu
 
Yangu sijauza mpaka leo. Nimeitamani niiongeze hii. Soon ikiwepo bado tutaona chakufanya. Gari nazipenda sana hizi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom