Huyu mchumba alitaka kumuua baba yangu kisha animalizie na mimi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye.

Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white siyo mweupe. Tako na hips vipo.... Hatari sana kwa watabe. Akawa amefall in love kweli kweli.. alinipa hadi nini.

Ikawa sasa anasema tuoane n.k nami nikicheck umri nao umesogea sogea.... Ila nikawa naendelea kwanza kufunga na kuomba kama wasemavyo ndgu zangu Wakristo.

Binti alishajua natoka familia gani. Maana mzee allahamdulilah si haba alikuwa amejiwekea ukwasi wa kutosha. Magari ya mizigo na miradi kem kem. Bint alinipenda zaidi.

Issue sasa ikawa anataka sana tuoane na siku moja akaanza niuliza kwa umakini. Kuwa mzee na utajiri wote ule hana watoto wa nje? Maana huwa wanasumbua kwenye kugawana mali. Nika rewind hayo maneno yake kichwani. Nikaguna. Nikajifanya sikusikia.

Siku nyingine tena kama utani akawa anasema "mzee wako mcheshi sana unaweza kuta huko nje ana watoto siku ya kugawana mali mkajikuta mpo 10.... "Akacheka kidogo. Nikamwambia sisi tupo watatu tu hivi. Wakiume wawili wa kike mmoja. Akasema afadhali.

Basi ikawa tu... Tutaonana lini, tutaonana lini. Siku hiyo akaniambia seriously kabisa akinishauri kwa mapenzi. Nimwambie mzee atuandikishe kabisa urithi ili yasije kutokea ya kutokea tukaanza kugombania mali. Kila mtu awe na chake kabisa.

Hapo nikasema asalaleeeeeehhh.... Sina mchumba hapa. Nina lijambawazi na limeshaanza kutaka kuchafua hali ya hewa. Alikuwa kifuani kwangu nikatoa kwa nguvu. Nikamwambia avae aondoke na mitako yake aende nayo. Sitaki tena kuwa naye. Akaanza omba msamaha kuwa alikuwa tu anatoa ushauri maana kuna mwenzie waliwahi pata shida na ndugu zake sababu hiyo.

Nlimwambia akazane akawe mchepuko wa mzee ili akaandikishwe yeye urithi. Aondoke jini, shetani maimuna na subian. Hakuamini. Nilimbebea nguo zake na kuziweka begini. Nikamwambia aanze mbele sitaki mwona tena.

Nlimwona ni muuaji kabisa. Anataka aje amuue mzee nini? Ili nibaki na mali akiwa mke wangu. Kisha aniue na mimi.... Mazafanta kabisa. ..nikaachana naye siku ile ile. Alibembeleza sana nimrudie tusameheane nikagoma. Akaja sema ana mimba yangu. Nikamwambia amtume rafiki yake Vicky aje aniletee home. Yeye asikanyage tena. Mbwa yule jambazi mkubwa.
 
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye.

Akawa anaona account yangu imenona. Aka fall in love nayo. Mtoto alikuwa white siyo mweupe. Tako na hips vipo.... Hatari
Hivi wewe una msongo wa mawazo nini? Hizi story zako zisizo na kichwa wala miguu
 
Yaani kuwaandama kila siku watu hao hao jamani sio mpango jaalia ni wewe kila uzi mnasemwa vibaya .. Achana na hizi mambo ni laana.
 
Usije ukadhubutu kudate mwanamke toka Kilimanjaro au Arusha. Usidhubutu. Nlipata demu mmoja wa kipare kipindi hicho nataka kuoa. Alikuwa anafanya kazi bank. So mara nyingi nikienda ku deposit mkwanja namtumia yeye.
a naye siku ile ile. Alibembeleza sana nimrudie tusameheane nikagoma. Akaja sema ana mimba yangu. Nikamwambia amtume rafiki yake Vicky aje aniletee home. Yeye asikanyage tena. Mbwa yule jambazi mkubwa.
Mkuu kuna mtu kaanzisha uzi jana wa kuwatetea. Ngoja aje, usiukimbie uzi wako tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom