Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
Baada ya tetesi za Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe kudaiwa kufungiwa (kama hukusoma bofya hapa -Inaelezwa Ali Kamwe kafungiwa miaka 2, Ahmed Ally anusurika na rungu la TFF), Mwanayanga huyo amejitokeza hadharani na kuelezea kuhusu madhara ya tetesi hizo na jinsi...
Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu.
Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi.
Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40.
Ikaja gari...
Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya.
Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu.
Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi.
Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini.
Ukihitaji nipigie 0624254690
Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.
Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa ndani yangu kwamba huyu sio Mama yako aliekuzaa ila Mama yangu alienizaa sijui alipo. Mama yangu...
Wadau ivi nitumie njia gani kusaidia ngoz yangu iwe sawa maana inasumbuliwa na acne plus scars adi inakua kikwazo.
Skincare tayari ila naona zinanikataa anyway nitumie njia gani au mafuta gani ili iwe sawa yaan na acne adi Kwa mwili na usoni.
Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art"
Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake...
Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake.
Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
Sitaki kuamini kama nitakua na picha na video za utupu za mke wangu kwaajiri ya kujiselfisher akiwa mbali 😁😂😂
Au ukiwa baba upwiru hupungua ? nahaidi kutokuichoka K aka Papuchi ya mke wangu, siku zote za mahusiano yetu sitachepuka nitakua mwaminifu,
Nina uzoefu wa kutosha kama niliweza kua...
Tuko pamoja, nyie ni strrong women ndio maana mnapambana kulea watoto hii midume iliokimbia.
Kama unahitaji faraja nicheck inbox ujisiikie and ukumbukie usichana wako ila mind you, sina hela 😁😁😁😁😁😁😁
Mweusi, mwembaba, sura kama mimi, etc i dont discriminate (in big pun's voice)
min -me Nimekucheck pm mwezi iliopita kuwa natafuta ajira. Unanihakikishia kabisa utani connectia na supermarket yenu ya familia iitwayo "Minimal Price" iliopo mwenge. Ukaniambia hata nikishafika mwenge hio sehemu ni maarufu sana hata wasanii wakubwa kama harmorapa wananunua bidhaa hapo...
Bro huu sio utu wala uungwana kabisa, hata Kama ni unyama huu sio wa Dunia hii.
nakumbuka ni wewe ndio uli nishauri nitoke kwetu nanjilinji, ili nije kukutembelea huko daslam.
Kila tuki piga story una nichana eti nanjilinji sio pazuri, eti mi binadamu nakubali vipi kukimbizana na nyani...
Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
Hii tabia ya mke wangu ya kunisearch na kuchukua pesa zangu kila nikilewa inaniumiza sana!
Na kila nikimuuliza anaruka mita Mia! Kwa ambaye alishawahi kutana na hii kadhia aliisolve vipi wakuu.
Your Sincerely,
Gwego.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.