yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump: Kuna nchi zinabusu 'makalio' yangu kuomba makubaliano!

    Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My Last Ride; Safari yangu ya Mwisho.

    MY LAST RIDE; SAFARI YANGU YA MWISHO. Mtunzi; Robert Heriel +255693322300 Episode 01. Sikumaanisha kuua! Wala sikuwahi kuwaza kuwa kuna siku nitakuja kuua mtu. Kwa kweli ningefanya dhambi zote, zote! Lakini sio dhambi ya kumwaga damu ya Mtu. Haya sasa nini...
  3. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli?? Tanzania yangu jamani

    Miaka 63 ya uhuru. Hapa wanasoma watoto wa watanzania.
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu waraka wa G55 ya CHADEMA

    Nimeshangazwa kuwa andiko lenyewe kumbe lilikusudiwa liwe ni kwa ajili ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, lakini limekuwa ni nyaraka kwa umma (Public document) Kwa mujibu wa andiko lenyewe, ni kwamba kundi la watu 55 liliandika barua hiyo kwenda kwa Katibu baada ya kuingia hofu kwamba maoni yao...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

    Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo Katika...
  6. kali linux

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  7. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita tangu Simba akimbie mechi ya derby

    Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Video : Popoma anazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii

    Watu wa kanda ya ziwa huwa nawakubali Sana jinsi wanavyo ongea. They are so funny. Check video ya huyu popoma kutoka kanda ya ziwa inavyo trend. Tunasubiri interview kama Abass Chionda.
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

    Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  11. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Nimekatiwa maji na watumishi kisa mita yangu inadaiwa tsh elfu moja na Mia Saba hamsini

    Wakuu, Kuna vitu vinakasirisha kwa kweli iko hivi, Mimi ni mteja mwaminifu wa huduma ya maji mtaani kwetu,na ni miongoni mwa watu wanaotumia maji bombani kwa kiasi kikubwa Mtakubaliana na Mimi kuwa serikali kupitia wizara ya maji imeajiri watu wale wa kuunganisha maji kwa wateja na wakapewa...
  12. Fakyuol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania RDP ni nini? Katika Kompyuta yangu | RDP Server | Remote Desktop Protocol |

    RDP ni nini? | RDP Server | Remote Desktop Protocol | Maelezo Rahisi RDP Servers? Kabla ya kuzungumzia RDP Servers, ni muhimu kwanza kuelewa RDP ni nini na inatumika vipi. Baada ya hapo, tutajifunza kuhusu RDP Servers na pia tutajadili baadhi ya watoa huduma wa RDP/VPS. RDP ni nini? RDP ni...
  14. Technophilic Pool

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani anirekebishie blog yangu iwe na sehemu ya selling product kama hii

    Kwenu wa taalamu! Usisahau kutaja Bei yako ya kazi
  15. refan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilivyoanza safari ya kuwa Youtuber 😀

    Wakuu salama? Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi nilitaka sana kua youtuber, hivyo nikasema lazima nijaribu nikifeli ni sawa. Basi nikafungua gmail hatimae channel, safari ya gaming content ikaanza Octoba 2022, Sina ujuzi wowote, muda kidogo nikapigwa strike kadhaa, Nikajifunza...
  16. innocentmark

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anaomba Msaada wa kisheria

    Rafiki yangu ametengana na Mkewe wa ndoa kanisani.Mke anataka kumpeleka Dawati la Jinsia kuhusiana na Matunzo ya mtoto suala la shule...Ni hatua gani anapaswa kuzichukua ikiwa akiitwa huko?
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mikasa aliyopata rafiki ya mama yangu

    SEHEMU YA KWANZA: URAFIKI WA DHATI. Ni kwenye ile wilaya niliyoiongelea kwenye ile stori yangu ya jinsi nilivyokutana na singo maza wa kiarabu. Ni miaka mingi imepita, wakati huo nilikuwa kidato cha kwanza. Marehemu mama yangu alikuwa na rafiki yake, mama mmoja ambae alikuwa mpambanaji sana...
  18. Khanji kapoor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo njiapanda kwenye ndoa yangu mpya. Naomba mnishauri mliooa 🤔

    Nimeoa mwanamke msimbe wenzetu wanaita single mothers Penzi ni tamu tu anaikatikia inavyotakiwa bila tabu kabisa 😋 Sasa changamoto imejitokeza wakubwa wangu Huyu dada ana mtoto mmoja wa kiume mdogo tu around 7 ivi Alinishauri tutafute kiwanja kweli buana uku na kule nikavutia waya...
  19. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu juu ya hii report ya CAG

    Mimi binafsi ninavyoona ,kwa hizi hasara ambazo zimejitokeza katika ripoti ya CAG ni wazi kuwa , pengine ni ile sheria ya kamba inafanya kazi tuiite the rope's law kwamba kila mmoja anakula pale kamba yake ilipofikia kwa sababu walaji wanaamini in the next government (Mungu ajaalie)...
  20. Alubati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu ChartGPT

    Huyu jamaa yuko poa sana, unaweza jifunza mambo mengi sana, badala ya kuchati na wanafiki muda mwingi nachati nae, wewe unamtumiaje?
Back
Top Bottom